Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hari ni tete katika chuo cha uhasibu Tanzania T.I.A pesa zao za kujikimu hazijatolewa na bodi ya mikopo hadi leo na leo ikiwa ni Tarehe 15 hawajui hatima yao, wanafunzi hawa wamekuwa omba omba na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mtu anaye jua mshahara wanao pata watu wa afya hususan wenye diploma za Nursing Pharmacy na Lab.technc..anijuze hilo na kozi ipi n nzuri zaidi kusoma
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Wakuu naomba mwenye kujua ni Chuo gani hapa Tanzania kinafundisha Urubani urgent
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, kuna jambo linanitatiza kidogo. Miaka ya nyuma TCU walikuwa wanawatanguliza waliomaliza miaka ya nyuma kufanya application ila kwa mwaka huu imekuwa tofauti kwani hadi sasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali kupitia TAMISEMI imesema kuwa madai ya watu mitandaoni eti ajira za walimu wa masomo ya Sanaa hazipo badala yake ni kuajiri walimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati ni uzushi wa watu...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Naomba kujua cz mie ni mtahiniwa wa nje ya shule na Mungu akifanya wepesi mwakani nitafanya Mtihani wa form six swali ni je kwa comb tajwa hap juu nitafanya maths.... cz o level maths nina F Asante
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Niliomba chuo mwaka juzi cha Afya ngazi ya Diploma kupitia NACTE nikafanikiwa kupata nikaenda kusoma kwenye hicho chuo kama miez minne nikaacha kutokana na matatizo ya kifamilia. Swali langu ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wale ambao mmemaliza masomo ya sekondari na mnategemea kujiunga na elimu ya vyuo kuna dhana moja imejengeka kuwa chuo hakuna kusoma ni kula bata tu, naomba hii dhana muachane nayo,chuo kuna...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Ndugu wana JF, Kuna dogo langu alipenda sana kusoma PCM advance amekuwa akifanya vizuri katika mitihani ya darasani ila kilicho mkuta NECTA form four 2015 hakuamini matokeo yake yapo Hivi; DIV...
0 Reactions
53 Replies
50K Views
Napenda kuuliza kati ya diploma Inayotolewa na taasisi ya elimu ya watu wazima Na Diploma inayotolewa na open university ipi bora?
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Habari wana jamvi Mm Elimu yangu ni form2 niliishia apo nina Ujuzi mkubwa tu na mambo ya Computer napenda sana kuwa na sever yangu mf. Google mozilla nk. Nilimfata teach mmoja akaniambia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Je watahininwa wa kujitegemea wa kidato cha sita wanatakiwa kuwa na sifa gani? Je usajili umeanza katika vituo na baraza la mitihani? Kwa anayejua anijuze tafadhali.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
What verb should l use after the word always
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Kwa walimu tu, Hivi hii serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika bajeti ya mwaka 2016 imetuongezea sh ngap kwenye mshahara?
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kama mada ilivyo hapo juu, wanaJF kuna dogo amehitimu F4 2015 na kupata DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH D. Ameaply diploma in Nursing lakini masharti kila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jamvi! Naomba kujuzwa shule nzuri yenye mchepuo wa HKL kwa Dar, iwe boarding. Ada isizidi Tshs 1.5m kwa mwaka
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kuuliza mimi nimemaliza Form 4 mwaka 2012 nikawa na 28 mwaka nilichelewa kwenda kuchukua matokeo ivyo nikajikuta nimeshindwa kwenda chuo mwaka 2013 wakabalika na kuwa GPA nikashindwa ku...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SOMO LA MATHEMATICS KUITWA UGONJWA WA TAIFA KWA WANAFUNZI Kwanini Somo Hili ni Gumu sana? Kadri miaka inavyozidi kwenda ndio thamani ya madarasa inapungua, nikimaanisha kwa aliyemaliza kidato...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Ninapenda kujiunga na chuo hicho! Ila napenda mniambie courses zinazo somwa hapo,ili nianze kujiandaa mapema! Natumaini mtanipa msaada... Au kama unamfahamu mwanachuo anayesoma au kasoma hapo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom