Msaada katika hili(Encarta) Wadau.

Jun 14, 2015
9
3
Nahitaji ile programme ya computer ya "Encarta,the free encyclopedia" yenye masomo kama vile Maths,science,geography na history.
Ni Jinsi gani naweza kuipata?
 
Jaribu google kusearch ukitumia terms kama ENCARTA THE FREE ENCYVLOPEDIA FREE DOWNLOAD


Au ingia kweny website ya

www.kat.ph then uisearch humo...kama ikisaidia rudisha feedback plz.
 
Back
Top Bottom