Link ya kupata CSEE 2003 examination results

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Messages
4,420
Points
0

ndupa

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2008
4,420 0
Wadau naomba yeyote anayejua link itakayo niongoza kupata matokeo ya kidato cha nne mwaka 2003 anisaidie,nina shida nayo sana.
Nimejaribu kutafuta kupitia The National Examinations Council of Tanzania ila napata matokeo ya 2004 to 2011,ya 2003 kurudi nyuma siyapati.
USINISHAURI NIENDE NECTA COZ SINA NAULI NA MUDA.
THANK U IN ADVANCE
mkuu kichwa cha habari na habari yenyewe havina uhusiano...mwaka 20003 unaujua?? labda muulize mungu atakupa jibu....kwa ushauri naiman unataka matokeo ya 2003...embu jaribu ku google jina la huyo mtu kama alivyoandika jina kwenye paper..jaribu inaeza saidia....ila japo hutaki au huwezi kuwafwata ingekua ni njia nzuri pia au kama vipi mtume mtu aliye karibu na hao necta...au kama hiyo ni ngumu unaweza enda shule uliyosoma watakua nayo pia......all the best...
 
Fidelis big

Senior Member
Joined
Aug 31, 2011
Messages
114
Points
170

Fidelis big

Senior Member
Joined Aug 31, 2011
114 170
mkuu kichwa cha habari na habari yenyewe havina uhusiano...mwaka 20003 unaujua?? labda muulize mungu atakupa jibu....kwa ushauri naiman unataka matokeo ya 2003...embu jaribu ku google jina la huyo mtu kama alivyoandika jina kwenye paper..jaribu inaeza saidia....ila japo hutaki au huwezi kuwafwata ingekua ni njia nzuri pia au kama vipi mtume mtu aliye karibu na hao necta...au kama hiyo ni ngumu unaweza enda shule uliyosoma watakua nayo pia......all the best...
Kama ya mlugo ilikuwa ni slip of tongue, hii 20003 itakuwa ni kiherehere cha keyboard mkuu, but nashukuru umenielewa n thanks for your concern
 
maxime

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Messages
2,049
Points
2,000

maxime

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2016
2,049 2,000

Forum statistics

Threads 1,392,763
Members 528,684
Posts 34,117,407
Top