Asalaam wakuu, tafadhali naomba kwa anayefahamu formula ya kutafuta DIVISION kwa matokeo ya mtihani ambayo inafit kwenye Ms-excel. Daima Jf imekuwa chanzo cha maarifa, naomba msaada wenu...
Habari kwa wahitimu wote wa kidato cha sita na wahitimu wote wa stashahada mwaka 2016. Ni dhahiri kumefanyika mabadiliko makubwa Katika bodi ya usajili vyuo vikuu hii imehusisha mabadiliko ya...
One of the most amazing things about the human brain is how it has the unlimited ability to pick on new things, this is why it is possible to master a new concept. Just because you have finished...
Jamani nilituma text yangu jana naulizia nitawezaje kupata English partner.
Nataka kupractice ila wa kuongea nae sina. Nahitaj kuimprove lugha hii please help me.
Ambaye yuko tayari nicheki...
Naombeni msaada, mimi ni mwalimu diploma holder.
Nimeapply NACTE ili nikasome degree lakini 2014 niliapply kusoma Open University nikapata na nikajisajili ila sikufanya mtihani hata mmoja.
Je...
Habari za humu wadau? Mimi ni mgeni humu ila shida hainaga ugeni wala adabu na huwa shida zina miguu so leo zimenilembelea.
Naomba kujulishwa ilipo tuition nzr za wale walimu wa Ilboru sec, Ar...
MImI nilimaliza form six 2014-15 kwa bahati mbaya nikachaguliwa open university science with education na nikapata mkopo laki tano, lakini sijaripoti chuo hata sikumoja na kusaini chochote.
Baada...
Habari za humu wana jf.
Naomba msaada kwa anaejua kuhusu hili. Pale KIU wanatoa kozi ya afya, je kozi hiyo imesajiliwa? Na kama kuna mtu ana namba ya mkuu wa chuo naomba anipatie.
Asante.
Habari Wana JF naamini kuwa members hmu walishasoma hivyo vitu nashindwa kujua tofauti Zake na ipi ina market kwa sasa. AHSANTE, naomba kuwakilisha kwani natamani kuomba kati ya hzo.
Habari kwa wahitimu wote wa kidato cha sita na wahitimu wote wa stashahada mwaka 2016. Ni dhahiri kumefanyika mabadiliko makubwa Katika bodi ya usajili vyuo vikuu hii imehusisha mabadiliko ya...
CCM ACHENI UKILAZA WA MWENDO KASI. NANI KASEMA MALISA KAPATA FOUR?? MALISA HAJAWAHI KUSOMA MINAKI HAYO MATOKEO MNAYOSAMBAZA SI YAKE. BOTH O LEVEL NA A.LEVEL KASOMA MOSHI. MATOKEO YAKE HAYA HAPA...
naomba mchanganuo kwa wale walio na shule za awali procedure za usajiri shule,,, vitu/ dhana za shule n.k vilivokuwa vinahitajika kabla ya kwenda kwa msajili mashule.
Ndugu wana JF habari za mda huu,moja kwa moja nitoe ufafanuzi juu ya kichwa cha mada husika,kwamba kuna taarifa zinazoenea kwa kasi mtaani kuwa kigezo cha kujiunga na diploma kinachohitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.