Je ni waafrika pekee walitumika katika biashara ya utumwa?

mukandarasi

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
932
275
Waungwana naomba kuelimishwa, kwa upeo wangu wa Historia,

Wakati wa biashara ya Utumwa, watumwa wengi walitoka Bara letu(Africa). Je Kuna Bara lingine lililotoa Watumwa kipindi kile???

Kama hakuna kwanini Afrika?
 
simply qn; zipo sababu nying zilizopelekea wakoloni kuwatumia waafrika hizo ni kama zifuatazo;
{1}waafrika walikua na nguvu za kutosho as black peaple(energitic peaple)
{2}walikua rahisi(cheap interms of wages )
{3}kupata marighaf za kutosha(enough raw materials)
{4} european conflicts(white prisons) due to demanded of high wages
{5} inferiority of red indies in america
{6}ect.
 
Back
Top Bottom