Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu waungwana Naomba mnisaidie kwa nayefahamu ofisi za nssf kwa walimu (mafao) wanaokaribia kustaafu anielekeze tafadhali. Na bibi yangu ni mwalimu mwakani anakaribia kustaafu kwahiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuu, nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na sijabahatika kuchaguliwa jkt. Nimesoma Pcm nilikua nina mpango wa kuongeza elimu kabla ya kwenda chuo. Nahitaji msaada wa mawazo ya...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu heshima zenu! Naomba kuuliza tafadhali; Mimi nimemaliza diploma in education Mount Meru University, sasa ninataka kujiunga na degree. Kwa anayefahamu au aliyesikia tangazo la TCU kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari zenu wakuu tafadhali naomba kama kuna mtu yeyote anafahamu mahali ambapo naweza kusoma kozi ya GIS (geogaphical information system)kwa mkoa wa mwanza anipe taarifa..asanteni
2 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wana jamvi et naomba kuuliza hivi hatma ya HGE ni nin naamanisha waweza somea kaz gani kupitia hyo combination
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Nilimaliza form 4 mwaka 2006 nikapata BCC katika mchepuo wa PCB. Kidato cha 6 nikapata S flat katika PCB, mwaka huu nimeapply NACTE stashahada ya CO na Medical Laboratory. Je, naweza kupata chuo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Hii system ya kuapply TCU au NACTE inawaacha wengi wapendao kusoma kukosa fursa. Mfano kigezo cha kusema waapply kwa diploma waliomaliza kidato cha sita kuanzia 2008 inawanyima fursa wa...
0 Reactions
2 Replies
13K Views
Swali langu ni kama lilivyojieleza hapo juu? Nitajuaje kiasi ninachodaiwa na Loans Board? Maana ni mwaka sasa tangu nimalize elimu ya juu na bado sijajua kiasi ninachodaiwa. Natanguliza...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Chuo kikuu huria kupitia taasisi ya elimu za menejimenti na teknolojia (open University of Tanzania) kinawatangazia nafasi ya masomo ya certificate na diploma za ict pamoja na pre entry (kozi...
0 Reactions
14 Replies
13K Views
Wakuu nawasalimu, Ni wapi nitapata tuition ya A-level English kwa eneo la Mbagala au Kigamboni? Ninahitaji tuition kwa mida ya usiku kwani ndiyo ninakuwa free. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tume ya vyuo vikuu Tanzania(TCU) itapitia taarifa za wanafunzi wa chuo kikuu cha Teofilo Kisanji(TECU) hasa vigezo vilivyotumika kudahiliwa chuoni. Wanafunzi wote wametakiwa kuwasilisha vyeti vyao...
3 Reactions
68 Replies
20K Views
When the ancient Chinese decided to live in peace, they made the great wall of China. They thought no one couldclimb it due to its height. During the first 100 years of its existence, the Chinese...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Ningependa kujuzwa mwalimu mwenye certificate akienda kujiendeleza na kuhitimu degree je akija kwa waajili atakapopanda daraja atakuwa na salary tofaut na wengine wenye certificate japo...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Salaam wana-Jf. Leo nimefanikiwa kumtembelea binti yangu ktk shule ya english medium iliyopo hapa kilimanjaro. Shule hii ina wanafunzi wapatao 400s lakini cha kushangaza wazazi na walezi...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Wakubwa naombeni kujua tofaut kat ya MD (medical doctor) na MBBS (bachelar in medicine and bachelar in surgery) na je kama kuna tofauti ipi iko juu zaid na ni vyuo gani Tz au dunian kote vinatoa...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jaman wale2liopangiwa udsm-muce 2kutane hapa
1 Reactions
24 Replies
9K Views
Jaman wadau naomben msaada kwa yeyote mwenye no za ticha yeyote au headmaster wa Biharamulo secondary ....please km unazo nitumie kwenye no 0719817920 au email ya mkilindi76@gmail.com. ahsanten sana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman naomben ushaur wenu, nataman kusona Masta ta business in account and finance chuo kip ni kizur kat ya udsm na mzumbe? Na ada ya kusoma full time ikoje!?
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Wadau wa jf! Natumai mko poa sana, naomba niulize je kuna Mdau yoyote aliyebahatika kupata full scholarship kusoma phd kwenye Scandinavia countries , Kama yupo naomba anishushie data alipataje...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom