Naomba msaada kwa anayeifahamu kozi ya Civil and Irrigation Engineering inayotolewa Arusha tech.
Je, ina utofauti gani na Civil Engineering na katika ajira ikoje?
Mimi Mwl atanasio wa same kilimanjaro Idara ya sec nahitaji mwl wa kubadilishana naem kutoka wilaya yoyote mkoa wa Manyara
Mawasiliano, 0752782506 au
0684145519
Wapendwa,
Naomba kujua hivi living allowance (hela ya kula) huwa ni kiasi gani huko vyuoni? Au generally HESLB ukiacha tuition wanatoa hela gani zaidi.
Tangazo kwa Wanafunzi wa Stashahada Maalumu ya Ualimu wa Masomo ya Sayansi na Hisabati
Mabadiliko ya tarehe ya kuanza masomo:
Chuo kikuu cha dodoma kinawatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa...
Habar zenu ndugu, naomba kuuliza kama ss wa diploma ya ualimu wa sayansi na hisabati udom wameshaanza kupewa mkopo au bado? kwasababu najarbu kuangalia akaunt yngu heslb ila sio tarfa yoyote kama...
Kuna uvumi ambao sio rasmi naomba kwa mwenye chanzo cha taarifa atujuze wadau.
Nimepokea tetesi nyingi kuwa walimu wenye diploma ambao GPA iliyo chini ya 3.3 yaani inayoanzia 3.2, 3.1, 3.0, 2.9...
Mimi ni mmoja wa tuliofukuzwa UDOM sitaki tena kurudi chuo kile kwani wameshanivuruga kisaikolojia nataka kwenda advance.
Naombeni ushauri nilikuwa napata mkopo pale UDOM hivi nikiondoka mkopo si...
nina mpango wa kuongeza elimu ya juu,lkn katika kudodosa kwangu nimekutana na watu wakitia shaka masterz za Mzumbe,lkn hawakufunguka zaid..kunan pale wadau?
wanajamii naomba msaada wenu
mimi nimemaliza form four 2010 nikapata division 1 ya 17 nikaenda advance HGL nikapata division 2 ya 12,
ila nilivoenda chuo baada ya kufika waka wa pili...
Nilimaliza form 4 mwaka 2006 ..nikapata BCC kwenye masomo ya pcb ..nkachaguliwa kwenda advance nkapata *S* flat masomoo ya Pcb...mwaka huu nimeapply nacte CO na medical laboratory diploma vyuo vya...
kunadogo hapa mtaani kapata 3point25 phy-d chem-c bio-c mathe-d na mengine dna cmoja somo la art saxa anauliza anaweza kuchaguliwa combi gan shule za serikal
Mimi ni mwalimu katika Halmashauri ya Wilaya Serengeti, nina Bed Sc (Hons) ya GPA 3.8, ninafundisha biology.
Naomba ushauri wenu wadau kuwa nahitaji kusoma Diploma ya Clinical Officer.
Je...
The moment you acquire new information is the moment that forgetting starts trying to take it away. Unfortunately, you can’t stop forgetting anymore than you can stop time. But you can fight it...
Habari wana jamiiforum Naomba kuuliza hivi kwa walio appeal mikopo hadi sasahivi imeshapita zaidi ya miezi mitatu hamna feedback yoyote hadi sasahivi semester inaisha au ndio wameshawapotezea
Wakuu nmemaliza kidato cha nne mwaka Jana sasa kutokana na sababu zipo nje ya uwezo wangu sitaki kusikia chochote kuhusu advance hivyo nataka nikasome diploma ya clinical officer, pharmacy, au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.