Tarehe ya kuripoti jkt yasogezwa mbele

goodhearted

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
967
1,207
Hala hala nyie kuruti wa mungu, sasa mtaripoti ktk vikosi rasmi kuanzia 7-10 july 2016

source itv habari
 
Shkamoo awamu ya tano, jeshini watakaa miezi mitatu(hadi 10 Oktoba) ila kuna vyuo vinafunguliwa tarehe 3 oktoba, vijana watajiandaa lini.?
 
Back
Top Bottom