Duuuuh aiseeeee hivi hii ni kweli?

Kila kwenye taarifa ya habari wanasema wana upungufu wa wauuguzi na madaktari mbona hatupangiwi sasa ,au hizi ni siasa tu jamani
 
Jiajiri Kama vipi tafuta mkopo angalia kishughuli cha kufanya ukisubir ajira utakesha
 
Back
Top Bottom