Shule za private kupata walimu mteremko

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,622
4,138
Wakuu,

Kwa Hizi figisufigisu za Kuwa ajira za walimu ni kitendawili kwa mwaka huu,

Yaani TAMISEMI ikiwatema tu walimu kwa kutowaajiri,

MAAAAMAAAAA YANGUUUUUUU!!!!!!

Yani wamiliki wa shule za private watajichekea Mpaka magotini,
Maana'ke Kuna possibility Kubwa ya wao kupata maticha graduates bora Kabisa
na
Wenye weledi mkubwa kitaaluma,
Na wanapiga pindi matata kama hawana akili nzuri
kwa mshahara wa Sh. 50,000/= kwa mwezi.

MAANA'KE KITAA ITAKUWA HAKUNA NAMNA SASA!

;);););)
 
Nadhani unaota ndoto nzito sana
 
Acheni mchecheto nani kasema ni kitendawili, watu wana miaka mitano mtaani na bachelor zao nyie kimwaka tu kelele nyiingi. Siku mkiambiwa hakuna na hamna plan B si kamba za kujinyongea zitapanda bei? Kwanza graduates wenyewe 75% vilaza, mnadhani sekta binafsi huwa zinajizolea tu kama serikali inayowapa ajira za mafungu bila interviews? Haya nitukaneni sasa nisikie raha kidogo na mimi.
 
Kweli mkuu.....umenena hasa
 
Kama wewe ni mwalimu na uwezo wako wa kufikiri ndo huu basi sidhani kama kuna haja ya serikali kuwaajiri
 
labuda wewe

WAKUU,
MNGEWEKA PICHA KWA AJILI YA UFAFANUZI TAFADHALI.
 
Wakuu,

Kwa Hizi figisufigisu za Kuwa ajira za walimu ni kitendawili kwa mwaka huu,

Yaani TAMISEMI ikiwatema tu walimu kwa kutowaajiri,

MAAAAMAAAAA YANGUUUUUUU!!!!!!

Yani wamiliki wa shule za private watajichekea Mpaka magotini,
Maana'ke Kuna possibility Kubwa ya wao kupata maticha graduates bora Kabisa
na
Wenye weledi mkubwa kitaaluma,
Na wanapiga pindi matata kama hawana akili nzuri
kwa mshahara wa Sh. 50,000/= kwa mwezi.

MAANA'KE KITAA ITAKUWA HAKUNA NAMNA SASA!

;);););)
Pole buraza naona njaa imeondoa uwezo wako wakufikiri.Mvumilivu ula mbivu inawezekana na kuchelewa kote huku ukakuta take home laki 8.Lakini ukipangwa chaka kafanye kazi mkuu usianze kuleta jeuri mwaka huu husipo ripoti hakiyanani tunakutema
 
MKUU
KWA UANDISHI HUU BILA SHAKA WE' NI MIONGONI MWA WALE 486 WALIOKUWA WANASOMA DEGREE WAKIWA NA DIVISION IV YA POINTS 32 PALE ST.JOSEPH.
 
Kwa hiyo usipoajiriwa ndo ukajirahisishe kwa private schools , tafuta ama kopa ka mtaji uangalie plan B halafu tuone kama maisha hayatanyoka ,hii tanzania mbona ina fursa nyingi tu jamani mh
 
WE' ND'O UMEONGEA CHA MAANA KULIKO WACHANGIAJI WOTE!
 
MKUU
KWA UANDISHI HUU BILA SHAKA WE' NI MIONGONI MWA WALE 486 WALIOKUWA WANASOMA DEGREE WAKIWA NA DIVISION IV YA POINTS 32 PALE ST.JOSEPH.
Pole sana mkuu tena pole,na tuendelee hivi hivi kutojuana ili uendelee kuufariji Moyo wako.Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom