Naomba Masada wanajamvi, Kuna rafiki yangu anataka kusoma short course yoyote ile ambayo itamfanya ajiajiri mwenyewe, lakini isiwe udereva..,nawasilisha kwenu wadau.
Ushonaji haswaa atatoboa maana baada ya miaka mitatu serikali itazuia kabisa uingizwaji wa mitumba nchini.
Watu wengi hawawezi kumudu nguo za dukani maana ni ghali kidogo na pia hawapendi kufanana kimuonekano (sare sare). Mwambie akasome ajiimarishe atapiga pesa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.