Hebu fuatilia Excel International SchoolWakaazi wa sehemu tajwa hapo huu, nafuta shule nzuri ya Englsh Medium kuanzia maeneo ya Mwembe Mtengu mpaka Kibada au mbele yake kidogo.
Tafadhali mwenye kuifahamu anifahamishe.
Pamoja mkuu.Asante sana Mkuu, nitafuatilia.