Naomba support yenu kukamilisha research yangu

: Impacts of IT to Newspaper Leading to Transition from Printed To Online Newspaper
: waungwana nafanya research please chukua mda kunijibia hayo maswali bonyeza iyo link maswali yapo manne tu asanteni xna
kama kuna marekebisho ukiainisha itakuwa kitu kizur
ndugu yangu unafanya academic research au research ya aina gani maana nikiisoma hiyo title yako haiko balanced kwani haioneshi dependent na independent variables, ningekushauri kabla hujafika mbali ukaanza na marekebisho kwa hiyo title yako
 
Back
Top Bottom