Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za muda huu wanajukwaa, Kama kichwa kinavyojieleza,nimekuwa nikikabiliwa na tatizo la kukabwa na wachawi karibu kila usiku kwa wiki mbili sasa,na hali hiyo hutokea mara mbili au zaidi kwa...
0 Reactions
56 Replies
13K Views
Jamani me nafanya kazi kama mkuu wa kituo katika kituo flani cha serikali hapa Tanzania. Nimefanya kazi kwa weledi mkubwa sana bila kuwa na tatizo hapa kituoni kwangu. Nimejaribu kumwomba...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wapendwa, Habari hii nimeiweka katika jukwa hili baada ya jukwa la dini kutokufunguka. Nilibishana sana na m-Kristu mwenzangu jana, kama kichwa cha habari kinavyosema...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Hii tabia ya wabongo sidhani kama ni kiume, Kwa tuliopitia shule kuna baadhi ya wakati mnajikuta mmefanya kosa flani hivi kisha mkatakiwa kupata adhabu. Mmoja kati yenu kwa ujanja au bahati yake...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Watanzania salaam. Naandika kwa wino mweusi kuhusu akiri za watanzania, watanzania tumezoea sana ushabiki wa kijinga, ukileta maada ya maendeleo kila mtu atakuwa anaangalia halafu anaendelea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Niukweli usiyopingika kuwa kwa sasa nchi ina makundi mawili. Kundi la kwanza: WAFAIDIKA NA MADAWA YA KULEVYA Kundi la pili: WAATHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYA. 1. WAFAIDIKA NA MADAWA YA KULEVYA: ni...
1 Reactions
0 Replies
810 Views
Ni lini viongozi wa kitaifa kama RCs, DCs na Mawaziri watahakikiwa vyeti vyao vya kidato cha nne, kama walipitia mfumo wa sekondari?
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Napenda wataalamu wa vyakula,watueeze kiundani jinsi vyakula vyetu vilivyo vizuri kwa afya. Kwa mfano ukiangalia mboga za majani,ziko aina nyingi,na mapishi yake pia yanatofautiana.Wataalamu wa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari waJF kwenu mlio na raha, Hali ya maisha inaendelea kuwa ngumu kila uchwao. Gharama za maisha zinazidi kupanda na uchumi bado uko pale pale. Vyakula vinagusa familia zote, mmoja mmoja au...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari JF, Asilimia kubwa ya wanawake pale wanapokua wanajitetea aidha wakiwa au hawana makosa au pengine wakati wanapigania haki zao wanakua wanalia mfano mzuri ni yule mama wa Tanga aliyekua...
0 Reactions
93 Replies
9K Views
Kwani wakati wa kampeni niliahidi kuleta tetemeko?
1 Reactions
0 Replies
761 Views
Kitendo cha Rais kupora hati ya kusafiria ya nyapara wa mafundi (supervisor) raia wa India anaesimamia mafundi bomba wenzie kwenye mradi wa maji uko kusini mwa Tanzania ni kitendo kigeni kwenye...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Zoezi la uhakiki wa TIN Number linaendelea mkoani Kilimanjaro na baadhi ya mikoa mingine kwa sasa. Kwa kweli zoezi hilo limekuwa ni usumbufu kwa wananchi kutokana na TRA kutojipanga vizuri. Ofisi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Amani kwenu wakuu! Ni muda mrefu katika sekta ya elimu kumekuwa na pande mbili zinazotoa huduma hiyo, yaani serikali kupitia shule na vyuo vyake na watu binafsi kupitia mashule na vyuo vyao...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Salaam!!. Jamani weekend ndio inaisha, hivyo kesho ni siku yakutoana akili na Maboss, kheri yako wewe kama ni Boss mana utapona lakini pia jitahidi usiwatoe wenzio akili. Leo nilikuwa safarini...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Nyumba zetu za ibada, haijalishi misikitini, makanisani au mahekalu ya kihindi au kichina, zimekuwa kwa miaka mingi sehemu yetu ya kutafakari maisha yetu na hasa uhusiano wetu na muumba wetu. Ni...
0 Reactions
2 Replies
657 Views
Hbr wana JF, Jana usiku nilipata taarifa toka kwa ndugu yangu aliye huko kijijini Tanga kuwa mwalimu mmoja amenusurika kuumia kwa kupigwa mawe alipokuwa kapumzika barazani na mkewe. Inasemekana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi mwananchi wa musoma napongeza sana kwa hatua Kali ulizochukua kuindeleza hospitali ya kwangwa iliopo nje kidogo ya mji wa musoma,kwani tangia awamu ya mwl nyerere watu walipiga hela hospitali...
0 Reactions
1 Replies
878 Views
Habr wakuu, Jaman huko kwenu vipi? Huku kwetu ipo hv; 1.sukari 1kg 2800/= 2.sembe 1kg 2200/= 3.mchele 1kg 2200/= 4.maharage kg 2600/= 5.gas 26,000/= mtung mdg, Kwa hz bei chache zinashtua aisee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Wakili Peter Kibatala amesema polisi wamepiga picha nyumbani kwa Askofu wa Kanisa la Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima. Kibatala ambaye ni wakili wa...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Back
Top Bottom