Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimefanikiwa kujua sisi Watanzania hatujui tunataka nini RC Makonda alipoanza kufuatilia madawa ya Kulevya mkaanza mara cheti alitumia cha mtu mwingine alipokuwa DC hamkuwepo au alikuwa na cheti...
0 Reactions
2 Replies
696 Views
Hivi kuna mgao? Umeme unakatika katika hovyo na hawasemi ni kwa sababu gani! Takribani masaa matatu hakuna umeme. Nahisi ni Dar mzima. Majipu mengine ukitumbua yanaota matezi. itakuja fika hizi...
1 Reactions
3 Replies
998 Views
Nimekaa nikachunguza,nimegundua asilimia kubwa ya madereva wa boda boda DSM wanatumia BOXER,ambazo ni pikipiki za hali yajuu na zenye mvuto. Ni adimu kukuta hizo aina nyingine za pikipiki...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nawazaa kama Mheshimiwa zaidi, anatenda haya, akiwa na uoga na matarajio ya kuomba tena kura, amesahau aliomba kwa pushap, any way atatumia mbinu nyingine, tuseme wakampitisha tena...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Jana niliandika habari kuhusu kijana aliyejeruhiwa na majambazi huko Rusumo mpakani mwa Tz na Rwanda. Pia ktk habari hiyo nilielezea namna tukio hilo lilivyotekelezwa jirani kabisa na alipokuwa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kakobe afunguka; amtaja Rose Muhando hajaokoka, Nape Nnauye, Philip Mangula, Mwakyembe, Lazaro Nyarandu, wokovu wao feki (Audio). Katika hali isiyo ya kawaida Askofu Kakobe wa Kanisa la Full...
9 Reactions
108 Replies
34K Views
Wa jamvi habari za asubuhi tafadhali naomba kwa mwenye ufahamu wa mabasi ya kwenda Songea kwa kupitia njia ya Mtwara na bei zake tafadhari. Pia nataka kujua Hotel/Guesthouse yenye bei nafuu...
0 Reactions
84 Replies
17K Views
Wanajamvi naomba huyu mwandishi Ibrahim Yamola wa Tanzania Daima atuambie ana maanisha nini akisema "RC Makonda amninginiza Lukuvi" kama front page hii ya Jumapili ina habari gani mpya? Ukisoma...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
MAMA WEMA MIKONONI MWA POLISI KWA KUMTAPELI MSAMA.  DAR ES SALAAM: Msala tena! Miriam Sepetu, mama mzazi wa muigizaji Wema Sepetu, amejikuta mikononi mwa polisi, Risasi Jumamosi linakupa mchapo...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Electronic Diversity Visa Lottery Kila la heri na baraka kwa wote ambao mtajaribu hii kitu ili kupata permanent residence ya USA na hatimaye uraia kama utaweza kutimiza masharti yote husika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna matapeli waliingia katikati ikiwemo wawakilishi wa Dangote Hata katika ajira ya magari kameudwa kakampuni kamechukua mpaka Rushwa kwa ajili ya ajira ya udereva . Nataka nikuhakikishie...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu kila mmoja ni mzma ndo imani yangu. Kama kila mmoja wetu ambavyo amesikia hizi tuhuma za Mkuu wa Mkoa kugushi vyeti bado ni tuhuma hatukatai ila najiuliza kama ikija kudhibitika ni kweli...
1 Reactions
2 Replies
737 Views
Kuoza kwa vitu ni badiliko la kikemikali linaloambatana na kuvunjika vunjika kwa maada za kioganiki na kuzalisha kampaundi ndogo ndogo kama vile asidi,gesi na baadhi ya elementi kama kaboni na...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Si muda mrefu sana uliopita Waziri Mkuu alitoa agizo la kusitisha uuzaji na matumizi ya pombe kali aina ya viroba ifikapo tarehe 01.03.2017.Hata hivyo Diwani mmoja katika kijiji cha Wami Dakawa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inakera na inaudhi kuwa wengi barabarani na kila mmoja ana EFD mashine haisaidii kujenga nidhamu. Nguvu mnayotumia kukusanya mapato kushindana na TRA haisaidiii kuweka nidhamu barabarani. Baadhi...
11 Reactions
37 Replies
4K Views
Mapema leo asubuhi IGP Mangu alikuwa mpakani mwa Tz na Rwanda (Rusumo).Lkn kuna tukio la kusikitisha sana na ni la kutia AIBU mno jeshi la polisi! Akikagua jengo la kilipokuwa kituo cha polisi...
6 Reactions
84 Replies
8K Views
Rais John Magufuli alitoa mpya wakati akimueleza Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais mstaafu , Jakaya Kikwete kwa kusema kuwa siyo tu ni mchapakazi hodari bali pia ni mzuri wa muonekano...
8 Reactions
60 Replies
11K Views
Marine 4 movie Enjoy the movie.
2 Reactions
2 Replies
772 Views
Habari wana JF Kila mtu anapenda kuona uchumi wake unakua siku baada ya siku na ndiyo mana watu wanafanya kazi usiku na mchana(walio jiajiri na walio ajiriwa) ili kujikwamua kiuchumi,lakini...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom