Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Niposa safarini nchi jirani kibiashara na nimeshukia nyumbani kwa rafiki yangu. Nimepewa chumba changu na ninalala humo peke yangu. Cha kunishangaza kama wiki tatu zilizopita nimeamka asubuhi...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Walianza vizuri na 4G yao ila sasa wamekuwa wanyang'anyi kabisa. Kuanzia mwishoni wa mwaka jana 2016 unaweka bundle na ukijaribu kufungua mtandao haifungui na inafanya hivyo hadi siku 7 au 30...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Sio mpenzi sana wa kuangalia Habari za Biashara, ila naona kama Channel Ten nawapongeza,, maana nimeanza rasmi kuangalia Habari za biashara. Maboresho Ila naomba tu, Camera man kidogo awe...
1 Reactions
11 Replies
46K Views
Kwanza ndio nimeamka, jasho limenitoka kwa ndoto hii..... Nilikua kanisani, chaajabu ni tarehe 4 mwezi march, siku ya jumamosi. Eti Gwajima amekamatwa kabla ya siku alio tangaza mambo ya kijiji...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau. Nimemaliza kuangalia kipindi cha dakika 45 tano..Leo mgeni alikuwa Masha Mshomba mkurugezi wa mfuko wa fidia Tanzania akiohojiwa na mtangazaji Sam Mahela. Mimi ni mpenzi wa kipindi hiki...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Niliandika mada hii https://www.jamiiforums.com/threads/wakristo-kwa-hili-mnapotoka-na-kukosea-sana.1210633/unread siku ya jumamosi tarehe 4 march 2017 saa 2:17 asubuhi hii inahusu masuala ya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo nimeona niwasogezee Uzi huu iwe kama tahadhari na somo kwetu kutokana na hizi sababu za watu mbalimbali kuamua kujinyonga ( kujiua). 1. Jamaa mmoja alilipotiwa kuchukua uamuzi wa kujinyonga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mmoja wa jemadari la siasa limeendelea kuimarika kiafya na yuko tayari kuingia kwenye mapambano akirudi kushirikiana na makamanda wenzake kama Freman Mbowe,Edwad Ngoyai Lowasa, komandoo Godfrey...
1 Reactions
2 Replies
963 Views
Kwa wale tunaohitaji mabadiliko ndani ya chombo hiki, haya ndio aliyoyasema cdf leo!! 1. Kuajiriwa ndani ya chombo hiki kwa darasa la sabana , kidato cha nne mwisho awe na miaka 18. Kwani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila inapofika tarehe 8 mwezi wa 3 duniani kote huazimisha siku ya wanawake, hii ni njia ya kuwatambua na kuwathamini wanawake katika kila hatua ya msaada na mchngo wao kwa jamii na katika nchi ya...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Guys, CWT wako imara sana kutangaza mgogoro na serikali mpaka government inataka ikae nayo march 15 lakini TALGWU wamelala tu na kufuga matumbo hawatetei haki za watumishi wake as a result...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ninapenda kuelemishwa kuwa mafanikio ya mtoto katika masomo yake hufuata akili ya wazazi wake?. Mfano kama Baba ni msomi na Mama ni msomi je akili ya mtoto itakuwa kama wazazi wake?.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kulikuwa na habari kuwa january 2017 itakuwa mwisho wa utumiaji wa mifuko ya plastiki ila mpaka hii machi kimya. Ingawa mifuko ya plastiki tunaihitaji sana ila bado jitahada za kupunguza matumizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa muda sasa kupiga number ya Halotel kutokea Airtel imekuwa kama kubahatisha muda mwingi utaambiwa number unayopiga haipo sijui ni kwa line yangu au nini tatizo ila ninaexperience hilo tatizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais ulituahidi kuwa uhakiki utachukua muda wa miezi miwili tu lakini mpaka sasa ni zaidi ya miezi nane toka uanze uhakiki. Vyombo vyenye mamlaka juu ya masuala ya ajira vilipoambiwa hili swala...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji uchafu wa silver Nahitaji uchafu wa silver
0 Reactions
1 Replies
690 Views
Ni hivi karibuni tumeshuhudia Wakimbizi toka SYRIA & YEMENI wakitafuta hifadhi huko ULAYA (hasa Ujerumani) na kwingineko. Lakini cha kushangaza wapo majiirani zao na Ndugu zao wa damu huko UAE...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Leo napenda kuongelea swala la mafanikio kupitia mtu yaani mtu aliefanikiwa anapoamua kuwasaidia wengine wafanikiwe kama yeye au hata zaidi yake hasa vijana wanaposaidaiana kama vijana Cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa CWT, Makamu wa Rais wa CWT, Katibu Mkuu CWT na Mweka Hazina wa Taifa wa CWT. Ninapenda kuwajulisha kuwa nimepokea barua mbili kwa njia ya baruapepe kutoka Tamisemi. Barua ya...
2 Reactions
33 Replies
9K Views
Back
Top Bottom