Habari wakuu
Kuna matangazo mengi ya vitu ambavyo mtoto chini ya miaka 18 haruhusiwi kutumia lakini tangazo linakuwa kuubwa mwishoni ndio unakuta hilo onyo
Kwa mzazi yoyote atakubali kuwa haya...
Habari wanajamvi,
Miezi kadhaa sasa imepita tangu mch. Lusekelo alipokumbwa na kasfa ya kutumia pombe na kulewa asubuhi chakari kitu kilichomfanya aporomoshe matusi kwa majirani zake.
Kifupi...
Je wakithibitika wauawe kwa kupigwa risasi kama nchini Ufilipino?
Mimi nashauri taundae utaratibu wa kisheria ili kuwaua wauza madawa pindi wanapothibitika ili kutokomeza kizazi cha wauza madawa...
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limetoa orodha ya makosa yatakayopelekea dereva wa chombo cha moto kupunguziwa alama katika leseni yake pindi atakapokamatwa ametenda kosa hilo.
Kila...
Taarifa iliyotolewa na Dr Edgar Swali kwa umma kuwa Hospital hiyo ya Taifa imepeleka Madaktari 20 nje ya nchi kuongeza maarifa ya jinsi ya kupandikiza figo.
Gharama za kupeleka wagonjwa wa figo...
Habari za wakati huu wadau
Ningependa kujuzwa ni nini sababu ya vyombo vya habari kama bbc au DW wanakuwa na vituo vinavyotumia lugha mbalimbali mfano kiswahili au kiarabu ningependa kujua wao...
Usiku wa kuamkia tarehe 26 Desemba 2016 mke wangu alipata uchungu wa uzazi. Nikampeleka hospitali moja hapa Masaki. Hakuweza kujifungua siku hiyo bali tulikaa hospitali mpaka tarehe 27 Desemba...
Habari Tanzania
Habari African
Leo napenda nitoe wazo la juu ya mikipo inayotolewa na bodi ya mikopo chuo kikuu
Binafsi nimeona ni wazo jema mpaka nalileta hapa mkekani japo wapo watakao ungana...
Muda si mrefu East Africa Radio wametoka kuwa na Kipindi chao ambacho leo muda mwingi wamekuwa wakijadili tu jinsi Mwanamke anavyokuwa katika siku zake / hedhi ( period / menstrual cycle ) na...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilayani Nzega mkoani Tabora, imemhukumu kifungo cha maisha Hubasha Ngasa (62) mkazi wa Kijiji cha Ngonho baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mjukuu wake mwenye...
Anayopitia Bashite sasa; Huenda ndiyo Yale niliyowahi kuyapitia;
Nimewahi pitia maisha magumu saana kiasi kwamba nilikuwa naweza kutembea njiani nikiwa naongea peke yangu;
Hali ilikuwa ngumu sana...
R.I.P Holice Kolimba,
Ile CCM uliyosema "Imepoteza dira" siku chache kabla ya kifo chako......... Hivi sasa haisomeki kabisa, hata imelipatia tifa viongozi wasio na sifa, wengine wanadaiwa...
BIG WARNING!!!!!!!
Kama huko nyuma ulikuwa una import parcel zako toka nje kwa kutumia DHL express Mail unatakiwa ufikirie upya na u switch kutumia mfumo mwingine kama UPS, EMS, au Expedited mail...
Baadhi ya mila na desturi za makabila yetu zimejengwa kwa muda mrefu kupitia misingi kadhaa. Baadhi ya misingi hiyo ni pamoja na,sherehe za kimila,koo kutembeleana,matamasha...
Waziri wa nchi ofisi ya rais TAMISEMI, utumishi na utawala bora, George Simbachawene amesema ataunda tume ya watu wachache kutoka wizara hiyo haraka iwezekanavyo ili kuchunguza idara na vitengo...
Uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) ni tarehe 17.03.2017 jijini Arusha, mchuano mkali ni kati ya wakili mbobezi na msomi TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU, dhidi ya wakili mbobezi...
Enyi wataule wa Rais, jitahidi sana mkumbuke kuwa maisha ni njia sote tunapita, mmejivika Uungu Utu, mmesahau kuwa yote mapito, walioko chini yenu mmewageuza madekio kisa muonekane mnafanya...
Habari za muda huu wanajukwaa,
Kama kichwa kinavyojieleza,nimekuwa nikikabiliwa na tatizo la kukabwa na wachawi karibu kila usiku kwa wiki mbili sasa,na hali hiyo hutokea mara mbili au zaidi kwa...
Jamani me nafanya kazi kama mkuu wa kituo katika kituo flani cha serikali hapa Tanzania.
Nimefanya kazi kwa weledi mkubwa sana bila kuwa na tatizo hapa kituoni kwangu. Nimejaribu kumwomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.