mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 593
Habr wakuu,
Jaman huko kwenu vipi? Huku kwetu ipo hv;
1.sukari 1kg 2800/=
2.sembe 1kg 2200/=
3.mchele 1kg 2200/=
4.maharage kg 2600/=
5.gas 26,000/= mtung mdg,
Kwa hz bei chache zinashtua aisee, serikali ipo kimya tu, hela imefungia BOT hata haishtuk na maisha waishiyo wananchi wake, kodi nazo hizo znapaa na bombadia zetu,
Sahv kilio kingine hichi cha bei kuongezeka kila kukicha, kilio cha ajira kimezoeleka maana imekuwa wimbo wa taifa, hili la bei wahusika walione maana wananchi twafaa na hali hii,
Kila ukiuulza why? Jibu ni kwamba tuliipenda wenyewe acha tuisome namba, mbele kwa mbele, hapa kazi tu, hakikaa majibu haya yanaleta chuki sana kwa awamu hii ya 5!
Huko kwingne kukoje? Mi nipo Tanga haya yapo hv, azma yakuishi kama mashetani coming soon, kula cake ya taifa ni 'bad signal' weak signal