Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,778
Habari za asubuhi wapendwa,
Habari hii nimeiweka katika jukwa hili baada ya jukwa la dini kutokufunguka.
Nilibishana sana na m-Kristu mwenzangu jana, kama kichwa cha habari kinavyosema. Mwenzangu yeye aliniambia humpatia tunda mume wake wakati wowote anapolihitaji, sasa nilimuuliza ukiwa umefunga je? Aliniambia ni haki yake na yeye hutoa tunda huku mfungo ukiendelea.
Haikuniingia akilini kabisa, iweje utoe tunda kati kati ya mfungo na mfungo uendelee. Sikuweza kusema mengi kwani tungerudi kule kule kwani wewe umeolewa? Basi ilibidi nikonde lakini ninaomba wajuzi wa Bible mnisaidie katika hili.
Shukran,
Sky Éclat.