Jamani me nafanya kazi kama mkuu wa kituo katika kituo flani cha serikali hapa Tanzania.
Nimefanya kazi kwa weledi mkubwa sana bila kuwa na tatizo hapa kituoni kwangu. Nimejaribu kumwomba mwajiri wangu ambaye ni DED anipumzishe kutoka mkuu wa kituo na kuendelea na majukumu yangu ya fani niliyosomea amekataa pamoja na barua nilizomwandikia.
Jambo hili imefikia hivi bcoz kila wakati tunahudhuria vikao mbalimbali vya serikali bila malipo unaambiwa kuwa utumie fedha za ruzuku, shangaa ruzuku unapewa kila robo ya mwaka ambaye ni sh 46000 tu.
Kwenye hiyo hela kuna matumizi ya ofisi karatasi na kadhalika.... hadi inafikia kutumia mshahara wangu kwa kazi za ofisi sasa kwa jambo hili naomba ushauri wenu nitapataje demotion ili nirudi katika kazi yangu ya kawaida?