Dar es Salaam. Wakili Peter Kibatala amesema polisi wamepiga picha nyumbani kwa Askofu wa Kanisa la Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima.
Kibatala ambaye ni wakili wa...
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze, Mkoa wa Pwani, limewapiga marufuku Madaktari na Wauguzi waliopo katika vituo vya afya na zahanati kuacha kuwatoza wagonjwa fedha za...
Nakumbuka nilipojiunga chuo niliambatanisha vitu vifuatavyo...
Cheti changu cha kuzaliwa na affidaviti ya wazazi
Cheti cha form four na form six
Naomba niulize ningekuwa nimefoji vyeti vya...
Wapo ambao bado wapo gizani juu ya kinachosema na mch.Gwajima kuhusu Daud Bashite.
Wengi wanasema eti ni kwa kuwa Paul Makonda kaanzisha vita ya madawa ya kulevya.
Lakini Mimi nawaombeni tujikite...
Wenzangu nipi alosto ile mbya. Huwa nastimua bashite yangu kwa kiroba cha zanzi pale napotaka kumpa mama yoyo dozi ya muda mrefu. Nimezunguka madukani hakuna.
Hivi na zanzi nayo imezuiwa?
Nakuomba muheshimiwa Rais kama kweli wewe ni msema kweli na una muamini Mungu nakuomba utuletee real Paul Makonda awe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam badala ya Daudi Bashite ili kusibitisha usema...
Nimeona airtel Bando ya usiku kwa 600 wakasema Ni bila kikomo kuanzia saa 6 mpaka saa12 asubuhi ghafla Nina torrents. Kibao zimekomea njiani nikasema hapa ntakamilisha duh kujiunga na ka line...
Wakuu kuna habari nimepewa na mmoja wa wasafiri yakuwa Leo majira ya saa tano kuna ajali imetokea eneo la mlima Kitonga ambapo bus la Aboud,Hpy Nation na fuso yasemekana yameporomokea shimoni,sasa...
Na Mwandishi wetu.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi Machi 3, 2017 alimaliza ziara yake ya awamu ya pili katika kata kumi za wilaya hiyo ambapo alitembelea miradi mbalimbali ya maendeleo...
Kwenye TV channel ya Aljazeera walikuwa na msemo usemao, There is nothing good in wars, except its end! Yani, hakuna mazuri kwenye vita isipokuwa mwisho wake.
Vita hii ya madawa ya kulevya imeacha...
Nilipata sikia kwamba katika majengo marefu huwa hamna floor inayotambulika kama namba 13. Mwanzo ckuamini na nilianza fanya uchunguzi na nlipata notice hicho kitu pale nilipoenda ppf towers na...
Hebu nyie wajuvi wa aviation mtuambie hapa kwanini,hawa jamaa wanazuia,maswali mengine ukiwauliza wanakujibu mkato eti wanataka mwanga,mbona wengine unafunga fresh tu hawamind ,mi nikikaa...
Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetangaza dhamira yake ya kuuza hisa kwa umma itakayofuatiwa na kujiunga kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ikiwa ni utekelezaji wa sheria...
Anaandika Milton Mahanga.
Moja ya kauli ambazo zilikuwa zinangojewa na umma wa watanzania zikamilike lakini haikukamilika ni hii ifuatayo:
"...basi nikawatumia marafiki zangu kunisaidia kufikia...
Sifa ya kiongozi mzuri ni nidhamu kwa wananchi anaowaongoza. Anakuwa mnyenyekevu na anawaambia ukweli wenye vipimo sahihi.
Kiongozi mzuri hupaswa kutambua kuwa watu anaowaongoza wana akili...
Nimefanikiwa kujua sisi Watanzania hatujui tunataka nini RC Makonda alipoanza kufuatilia madawa ya Kulevya mkaanza mara cheti alitumia cha mtu mwingine alipokuwa DC hamkuwepo
au alikuwa na cheti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.