Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,989
Napenda wataalamu wa vyakula,watueeze kiundani jinsi vyakula vyetu vilivyo vizuri kwa afya.
Kwa mfano ukiangalia mboga za majani,ziko aina nyingi,na mapishi yake pia yanatofautiana.Wataalamu wa mboga mboga hizi za majani wangetuelekeza upi ni upikaji sahihi wa mboga mboga hizi.Na pia tule kwa chakula cha aina gani,kwa mfano unga wa mahidi,upikwe vipi,na mengine mengi,ili tupate afya,tuepukane na maradhi ya aina mbali mbali.Pamoja na ulaji wa matunda.
Hiii itasaidia kupunguza gharama za matibabu,na kupunguza wagonjwa hospitalini kwa njia za 'kinga ni bora kuliko matibabu'.