UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hbr wana JF,
Jana usiku nilipata taarifa toka kwa ndugu yangu aliye huko kijijini Tanga kuwa mwalimu mmoja amenusurika kuumia kwa kupigwa mawe alipokuwa kapumzika barazani na mkewe.
Inasemekana chanzo ni kuhimiza wanafunzi wawe smart kwakuwa wanakuja na sare chakavu hivyo kujipata akiwa ktk mgogoro mkubwa na wazazi wakisema watoto wao watavaa viatu na sare nzuri wakifika sekondari.
Je wadau mnamshauri vp huyu mwalimu?
Nawasilisha.