Wabongo si wa mchezo mchezo

saede mbondela

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
368
237
Hii tabia ya wabongo sidhani kama ni kiume,

Kwa tuliopitia shule kuna baadhi ya wakati mnajikuta mmefanya kosa flani hivi kisha mkatakiwa kupata adhabu. Mmoja kati yenu kwa ujanja au bahati yake akanusurika na adhabu pamoja na kua alikua mmoja wa waliofanya kosa.

Katika vitu ambavyo hua havifanyiki katika kundi hili la wanafunzi ni kumtaja yule mwenzenu alienusurika na adhabu kwasababu leo yeye huenda kesho ukawa wewe ndie ulienusurika na hayo ndo maisha. Jambo linalonishangaza kwa wabongo sisi ambao kipindi kile tuliona haina noma mmoja wetu kunusurika leo kulivalia njuga swala RC.

Watu wengi bongo huishi kuijanja ujanja lakini akitokea mtu kamzidi ujanja maneno meeengi. Mtu kashatoboa then leo ndo unaleta ishu ya vyeti mbona hii istaajabisha.

Wabongo ni vipi nyie
 
Hii tabia ya wabongo sidhani kama ni kiume.
Kwa tuliopitia shule kuna baadhi ya wakati mnajikuta mmefanya kosa flani hivi kisha mkatakiwa kupata adhabu
Mmoja kati yenu kwa ujanja au bahati yake akanusurika na adhabu pamoja na kua alikua mmoja wa waliofanya kosa.
Katika vitu ambavyo hua havifanyiki katika kundi hili la wanafunzi ni kumtaja yule mwenzenu alienusurika na adhabu kwasababu leo yeye huenda kesho ukawa wewe ndie ulienusurika na hayo ndo maisha.
Jambo linalonishangaza kwa wabongo sisi ambao kipindi kile tuliona haina noma mmoja wetu kunusurika leo kulivalia njuga swala RC.
Watu wengi bongo huishi kuijanja ujanja lakini akitokea mtu kamzidi ujanja maneno meeengi.
Mtu kashatoboa then leo ndo unaleta ishu ya vyeti mbona hii istaajabisha.
Wabongo ni vipi nyie
Wewe usituletee staili za maisha ya shule kwenye issue za kitaifa.

Sikia bro, basi kama hivyo ndivyo, yeye ndio alie anza kwa sababu wenzie washatoboa then kaenda kuwaletea noma ... kwa hiyonye angeanza kivingine au? Ila taifa haliendeshwi hivyo Baba
 
Tazama utoboaji wao ulivyoweza kuathiri vijana
Huwez kulinganisha na alivyotobia jamaa
 
Kilichomponza Bashite alijaa kiburi na dharau sana,akaona ameshamaliza yote na yeye ndiye Rais kama sio makamu.
Nafurahia sana yanayoendelea dhidi yake.
 
Kinachonishangaza mimi ni kwamba kwanini hili linakuja baada ya kuanza vita dhidi ya madawa?
 
Hii tabia ya wabongo sidhani kama ni kiume.
Kwa tuliopitia shule kuna baadhi ya wakati mnajikuta mmefanya kosa flani hivi kisha mkatakiwa kupata adhabu
Mmoja kati yenu kwa ujanja au bahati yake akanusurika na adhabu pamoja na kua alikua mmoja wa waliofanya kosa.
Katika vitu ambavyo hua havifanyiki katika kundi hili la wanafunzi ni kumtaja yule mwenzenu alienusurika na adhabu kwasababu leo yeye huenda kesho ukawa wewe ndie ulienusurika na hayo ndo maisha.
Jambo linalonishangaza kwa wabongo sisi ambao kipindi kile tuliona haina noma mmoja wetu kunusurika leo kulivalia njuga swala RC.
Watu wengi bongo huishi kuijanja ujanja lakini akitokea mtu kamzidi ujanja maneno meeengi.
Mtu kashatoboa then leo ndo unaleta ishu ya vyeti mbona hii istaajabisha.
Wabongo ni vipi nyie

Madawa ya kulevya ndugu
hawa ni mamluki wa wauza madawa
lijitu linajifanya likiongozi ka chama
kumbe liuza madawa
lazima lizushe na Vibendera kama kawaida upepo ulipo peleka!!
 
Hii tabia ya wabongo sidhani kama ni kiume.
Kwa tuliopitia shule kuna baadhi ya wakati mnajikuta mmefanya kosa flani hivi kisha mkatakiwa kupata adhabu
Mmoja kati yenu kwa ujanja au bahati yake akanusurika na adhabu pamoja na kua alikua mmoja wa waliofanya kosa.
Katika vitu ambavyo hua havifanyiki katika kundi hili la wanafunzi ni kumtaja yule mwenzenu alienusurika na adhabu kwasababu leo yeye huenda kesho ukawa wewe ndie ulienusurika na hayo ndo maisha.
Jambo linalonishangaza kwa wabongo sisi ambao kipindi kile tuliona haina noma mmoja wetu kunusurika leo kulivalia njuga swala RC.
Watu wengi bongo huishi kuijanja ujanja lakini akitokea mtu kamzidi ujanja maneno meeengi.
Mtu kashatoboa then leo ndo unaleta ishu ya vyeti mbona hii istaajabisha.
Wabongo ni vipi nyie
Limevaliwa njuga kwa sababu mamlaka znajifanya hazioniiiii????
Hivi ulikua wapi wewe kuwatetea waliofukuzwa kazi na wengine kufungwa gerezan kwa kosa la kutumia vyeti vya wengine??
Tuwe fair wembe ukate potepote sio ule upande huh halaf kwigine uwe butu...
 
Maisha ya kijanjajanja ndo mh rais hayataki, ndo maana alipoingia madarakani alihakikisha anaanza kudeal na watu wenye vyeti fake na kuwatimua. Ifike mahali kila mtu aseme no, there's no way kutetea makosa kisa tu huyu ni mwenzetu mwisho wa siku akiharibu mnaanza kulaumu hovyo
 
Nakubali juhudi za mhe.Rais kupambana na wajanja wajanja.
Wabongo walikua wapi mda wote mpaka alipoanza kupambana na madawa?
 
Back
Top Bottom