Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,788
Habari JF,
Asilimia kubwa ya wanawake pale wanapokua wanajitetea aidha wakiwa au hawana makosa au pengine wakati wanapigania haki zao wanakua wanalia mfano mzuri ni yule mama wa Tanga aliyekua anaongea mbele ya rais kuhusu kudhulumiwa mirathi na hata katika mahusiano ya kimapenzi, ukitofautiana na mwanamke anaishia kulia.
Ni kwa nini?