Watanzania salaam.
Naandika kwa wino mweusi kuhusu akiri za watanzania,
watanzania tumezoea sana ushabiki wa kijinga, ukileta maada ya maendeleo kila mtu atakuwa anaangalia halafu anaendelea kutafta maada ya umbea,
Ni lini nchi iliendelea kwa unafuiki? Madahani hili swala la makonda gazeti moja limeamua kuweka kambi kutafta kuweli,, ni jambo jema lakini tuangalie ni tuhuma ngapi ambazo zimepita juu kwa juu magazeti yamefumba macho,
Ni lini magzeti yetu yataweka kambi kwenye mikoa yenye changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji?
Ni lini magazeti yataweka kambi kwenye mikoa inayosumbuliwa na ukame na mafuriko?
Ni lini nyuzi za ujasilia mali zitapewa kipaumbele pengine zikawa ziinajadiliwa kwa upana kuliko hizi taarifa za kidaku?
Nchi hiii ni yetu sote tutumie muda wetu kushauri vitu vyenye tija.
Tumbuke wale maprofesa wetu kitu gani wamewahi kufanya cha kukumbukwa?
Asanteni