Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwakweli kinachoendelea kwenye hii halmashauri yetu sio sawa kabisa. Tulipata taarifa kuwa zimetumwa milioni 14 kwa ajili ya kuwalipa watumishi(walimu) madeni yao. Japo ni kidogo sana lakini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna hii tabia ya mtu(unayemfahamu na anayekufahamu kabisa) anakutumia SMS yenye kusema......'naomba unisaidie sh.elfu kumi...nisaidie nina shida' Unabaki unajiuliza huyu jamaa ana uhakika gani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajamvi! Leo ninakuletea siri na asili ya kitu kimoja kinachotufanya wengine tulale nje kwa masharti ya kazi na mikataba, wengine wanayavumilia matusi ya waajiri na wasimamizi wao ili tu...
10 Reactions
15 Replies
6K Views
Kila siku..tulishatoa kibali cha kuajiri waalimu wa sayansi..huu ni zaidi ya mwezi wa nne..hicho kibali mlipeleka nchi ingine.. Ongeeni ukweli kuwa hatuna hela hivo hatuajiri..sio mbwembwe.. Au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika hali isiyotarajiwa; jana Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Bw. Daudi Albert Bashite aliitisha mkutano n Waandishi wa Habari akiwa nje ya Mkoa wake! Na katika hali ya kushangaza kabisa; kwa...
30 Reactions
169 Replies
18K Views
Kwa takribani wiki moja baadhi ya wilaya na mikoa imekosa maji baada ya tanesco kukata umeme kwenye visima/pampu za idara za maji ya maeneo husika. Ni jambo la dharau na dhihaka kwa wananchi...
1 Reactions
1 Replies
804 Views
Pengine watu watajiuliza kuwa nini kimejiri mpaka kuwazungumzia wadudu hawa. Kunguni hawathibitika kuwa na uambukizi wa ugonjwa wowote kwa binadamu, ila ni wadudu ambao wasumbufu sana hasa nyakati...
0 Reactions
19 Replies
44K Views
Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo asubuhi katika makutano ya barabara ya Msimbazi na Morogoro, Dar. Leo hii kariakoo trafiki alikuwa anaongoza magari sasa akawa anaruhusu bus la...
2 Reactions
124 Replies
15K Views
Ni kitambo sasa kumekua na kelele za kuulizia cheti cha mtu anayeitwa Bashite as if wanaoulizia walimlipia ada wakati anasoma au walikilipia kule NECTA. Tusipoteze muda jamani ili uweze kuona...
9 Reactions
73 Replies
6K Views
Hii ni kwa mujibu wa WHO ambalo ni shirika la afya la dunia . Taarifa zinasema kwamba Tanzania inashika nafasi ya 8 kati ya nchi 22 zenye lundo la wagonjwa wa TB duniani na imejinyakulia nafasi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni watuhumiwa walioficha magari wakidai ni mitumba wamefikishwa mahakama ya Kisutu, habari hii nimeileta kwa kuwa kulikuwa na kuaminishwa kuwa hakuna waliokamatwa kwa kuficha Magari bali ni kiki...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Ndg:wabunge nawaheshimu Sana kwani huwa mnatetea demokrasia wkt nyie hamtaki kukosolewa na Sisi tuliowapa Kula. Mnapo dai kuwa kiongozi mmoja amewazalau kwamba amezalilisha Bunge kwamba mambo ya...
0 Reactions
7 Replies
911 Views
Lowassa alipata kusema yeye Mwenyewe kuwa Kikwete ni Rafiki yake Mkubwa na hawakukutana Barabarani sasa sisi tunajua kabla ya Lowassa kusema kuwa Suala la Richmondi Walikuwa pamoja!! Nani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenyeji wangu amepata rafiki yake toka Uingereza, sasa kama kawaida ya watu wa huku kupika nyumbani hasa usiku akiwa na mgeni ni shida. Tukaamua kumpeleka mgeni katika restaurant moja hapa...
6 Reactions
60 Replies
7K Views
kuna mtu anahitaji kuniuzia gari na tumepanga tuonane kesho kwa ajili ya kwenda kuangalia TRA Kama haidaiwi. Kilichojitokeza nasikia kesho TRA hawafungui ofisi kwahiyo naomba msaada Kama kuna njia...
0 Reactions
8 Replies
23K Views
Wakuu Nimekua ni mdau wa mikopo midogo midogo inayotolewa na hii mitandao ya jamii kwa voda naipata kupitia nipige tafu Airtel naipata kwa kutumia timiza Vipi kwa Tigo sijajua na sijapata...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari wana JF, Miezi kadhaa iliyopita uliwekwa uzi na Mahede Mkorofi kuhusu mambo yasiyofaa yaliyokuwa yanaendelea katika shirika la World vision Tanzania. Pamoja na ukweli kwamba uzi ule...
14 Reactions
29 Replies
9K Views
WanaJF wenzangu naona huu ukosefu wa abiria umesababisha nauli kushuka kwa kiwango kikubwa Sana. Sasa hivi ukipanda basi mkizidi sana mpo ishirini.Nipo hapa stand kubwa ya mabasi Arusha naongea...
4 Reactions
68 Replies
8K Views
Kwa kipindi kirefu Millard Ayo amekuwa akituhabarisha kwa kutupa vichwa vya magazeti ukurasa wa mbele na nyuma kila siku. Kwa bahati mbaya sana, amekuwa akiweka nembo yake ya MillardAyo.com kwa...
3 Reactions
102 Replies
20K Views
Biblia. Yeremia 26:3 [3]Labda watasikia, na kughairi na kuacha kila mtu njia yake mbaya; ili niyaghairi mabaya niliyokusudia kuwatenda, kwa sababu ya uovu wa matendo yao. Nakuomba mtu wa Mungu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom