Kwa hali ya maisha ya sasa maisha yote yako kiganjani, miamala mingi ya fedha nifanyika kwa njia ya mpesa hasa vijijini na maeneo ya mashambani. Vodacom wametuonyesha uwezekano wa mtu kununua hisa...
Habari za wakati huu wataalamu!
Hivi ni kwanini sikuhizi huu mtandao wa VODACOM Umekua ukisuasua?!
Yani mambo ni tofauti kabisa na mitandao mingine mtandao wa Voda sikuhizi wamekua wa ajabu...
Prof. Muhongo tangu upewe dhamana ya wizara ya umeme tumeshuhudia umeme kukatika Mara nyingi kuliko kipindi ulichokua huhusiki. Huoni kwamba ni wakati muafaka uachie ngazi ili tupate mpiganaji...
Ile kampeni ya malkia wa nguvu inayotambua na kuheshimu kazi kubwa inayofanya na wanawake kilele chao ni leo katika ukumbi wa mkutano wa Julius nyerere posta na mgeni Rasmi ni Dr Tulia, Naibu...
Kimsingi vyombo vya habari vina nafasi kubwa sana kukupandisha na kukuangamizi. Ulimwenguni pote ni dhahiri kuwa MEDIA zina nafasi kubwa sana kukufanya kuwa MAARUFU kwa PROMOTION ya kazi na...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Ni Mimi Dume suruali,Nilikuwa kimya kwa muda mrefu sana kwa sababu nilikuwa nafanya tafiti katika kijiji pendwa cha koromije.
Utafiti ulionipa matumaini na...
Ni miaka kadhaa imepita lakini Jamani siku kama ya Leo sitaisahau,nilikuwa nipo hostel mwaka wangu wa mwisho wa masomo chuo fulani hapa dar,nilikuwa najiandaa kwenda darasani,nakumbuka nilipigiwa...
EAC haijakamilika bila Ethiopia. Ethiopia itakuwa ni nguzo ya tatu ya uchumi wa Jumuiya baada ya Kenya na Tanzania; ina soko kubwa la watu zaidi ya milioni 90.
Itakuwa ni jambo jema endapo Rais...
Mwili wa mvutaji sigara
Kila sekunde nane, mtu mmoja hufariki kutokana na utumizi wa tumbako. Imebainika kuwa saba kati ya wavutaji sigara kumi, huanza uraibu huu wakiwa wangali watoto...
Haji Landa Mkazi wa kijiji cha Ihanja, Wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana. Mazingira ya kifo chake ni kwamba ilikuwa muda wa usiku Jana Alhamisi...
Habari zenu.
Ni vizuri sana kusaidiana katika shida na raha ila kabla ya kusaidia lazima kwanza uangalie hali familia yako. Kwakweli mimi nina mashaka sana juu ya hili suala la kupeleka...
Nawashauri PSPF kuwa waungwana kutekeleza huduma wanazozingaza kwa wakati bila usumbufu kwa wateja wao kwani wana shida ya kuweka vikwazo vinavyoweza kuwakatisha tamaa wateja.
Mfano fao la uzazi...
Wakuu, naomba Leo tuweke ushabiki pembeni tudadavue kama GT uvamizi wa RC pale Clouds TV. Naomba tuangalie mazingira yote kwa uwazi kabisa tuje na conclusive evidence juu ya tukio hilo la...
Kama ilivyo kawaida jumamosi ya mwisho wa mwezi imekuwa ni siku ya usafi na wafanya bihashara wamekuwa wakifunga bihashara zao kwa ajili ya kushiriki usafi na kufungua kuanzia saa 3.
Lakini...
Jeshi la polisi mkoani Simiyu linawashikilia watu watatu wakazi wa kijiji cha Kadoto wilayani Maswa kwa tuhuma za kumkatakata kwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake mama mmoja mkazi wa...
Wakuu hili tatizo kwa dar lishakuwa ni sugu..hebu tusaidiaje kutaja maeneo yanapotokea uporaji wa wazi wa fedha na kwa kutumia boda boda na kutishia bastola.
Mimi naanza na Tabata huku ishakuwa kero.
Kumekuwepo na hoja zisizo na mashiko ambazo zimekuwa zikitolewa na wanaccm wenzangu kwa kuwashambulia wapinzani pale wanapokuwa wanataka kuonana na Rais ili kujadiliana masuala yenye tija kwa...
Jana nimekutana na Mwalimu wa Zamani wa Masomo ya Sayansi ambaye alipata kuhudumu katika shule za Mzizima na Kinondoni Muslim kati ya mwaka 1971 mpaka mwaka 1988 alipostaafu na kuenda kuishi...
Wana JF,
Kuna habari ya kusikitisha imetokea maeneo ya Mbezi Luis kwa Robert.
Kijana wa kiume umri miaka 9 jina Raheem amesombwa na maji ya mto alipokua akijaribu kuvuka.
Jitihada za kumtafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.