Leo almanusra nivunje miguu ya shoga ugenini

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,125
8,644
Mwenyeji wangu amepata rafiki yake toka Uingereza, sasa kama kawaida ya watu wa huku kupika nyumbani hasa usiku akiwa na mgeni ni shida. Tukaamua kumpeleka mgeni katika restaurant moja hapa Mafikeng!! Baada ya chakula tukiwa tunajiandaa kutoka wakaomba niwapige picha za kumbukumbu!!

Sijakaa vizuri mara shoga nae kaingia na yeye anataka kupiga picha tena kalewa. Nimewaomba wamfukuze lakini kakataa tena nusra anidhalilishe kwa mitusi. Mwanaume wa kisukuma nikaona sasa kama kufungwa ugenini muda umefika, rafiki yangu akaninong'oneza achana nae serikali inawatambua huku.

NB: Tumuungeni mkono Kigwangalla kwa kampeni ya kuwatokomeza hao paka huko home.
 
Mkuu huyo shost ako ni jirani ni yenu ama?
Ama alivamia tu?
Wako kibao mitaani ila ni mwenyeji wa mtaa huu,amevamia tu alikuwa na hamsini zake. Ving'ang'anizi hao ukiwa na roho nyepesi unaweza kwenda jela. Hawataki kuwa na kapani na wanaume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom