Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wandugu, Nipo The Dreams resort Mwanza, wakati naenda maliwato nimekutana na mtu amelala chini huku anavuja damu watu wa karibu yake wanasema ameanguka baada ya kuzidiwa na kileo. My take...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Solution hipo hapa....nenda Voda Shop.Waambie unataka kuhama mtandao.Utapewa line ya voda lakini namba yako itabaki ile ile ya Tigo.Voda wana 500Mb kwa siku....2GB kwa wiki zikiambatana na 2GB...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Gwajima ni mch machachari sana hapa Tz, wiki mbili hizi amekuwa kimya mno kulikoni? Waumini wa Mch Gwajima tuambieni kasafiri au yupo? Naamini wapo wengi nikiwa mmoja wao tunotamani kusikia neno...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Binafsi nimeshangazwa taarifa hizi. Kwanini Viongozi na mamlaka zake zinalazimisha kuufunika ukweli. Vyeti vimekuwa vinakaguliwa kwa mtumishi yeyote wa serikali bila kujali anawajabika wapi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Neno Tanzania lazima liwepo, yangu ni hii hapa. "All intelligence agencies in developed and developing countries makes outrages against their countries that have no national interest, and it is...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa hii imekaa vipi,Jana mkulu alikua akiongea lugha yetu Taifa alipomkaribisha Waziri mkuu wa Ethiopia lakini akiwa bandarini waziri mkuu na Le professor walikua wanawasialiana na mtu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nawasalimu wana JF.! Nchi yetu imeendelea kupokea ugeni wa viongozi toka mataifa jirani na hata nje ys bara letu la Afrika,wengi wa waliofika wameonyesha nia thabiti ya kujenga/ kuendeleza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii shule ipo Halmashauri ya Mji Tarime, ni shule ambayo ufaulu wake ni hafifu sana, lakini kuna tatizo la kiutawala na la kitaaluma. 1.Walimu wanafundisha vituo viwili muda wa kazi, chuo cha...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Tabia hii imekolea sana miongoni mwa vipusa wanaodhani kuwa wanapofanya hivi basi wanajiongeza hadhi huku wakikupunguzia. Unakutana na binti njiani lakini kutokana na sababu umevalia mavazi ya...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Leo nimemsikiliza Dr Shain akiongea na wanahabari zanzibar. Amewasisitiza kutowaogopa wanahabari bali wanapaswa kuwatumia na kuwashirikisha habari mbali mbali za maendeleo na kijamii na kufanya...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Salam wanajamii. Enzi hizo nyumbani kwetu ilikua bahati nzuri sana kuvaa nguo mpya, ukiona mwenzio kavaa nguo mpya ujuwe anasafiri. Na kweli alikua anasafiri kwenda sehemu nyingine aidha mjini au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii ni taarifa niliyomegewa na msamalia mwema , kwamba baada ya matenki ya fikra ya serikali kutumia darubini kuangalia maeneo mengine ya utumishi yanayoitwa nyeti , wakashauri mchezo uishie...
7 Reactions
78 Replies
10K Views
Mambo yenye kustaajabisha au kufurahisha kuhusiana na vyoo kuzunguka dunia yetu hii Bizarre Toilet Facts To Know From Around The World - BoldSky.com
0 Reactions
1 Replies
622 Views
Mkulu katoa point bila ushahidi wa kina. Kwa tunaoamini biblia baada ya gharika Nuhu alipata wana watatu Shemu, Hamu na Yafethi. Wana wa Shemu ni Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. Wana wa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kuna mahali nimepiga bingo za kufanya kazi online sasa wamenipa utaratibu wa kutumia paypal kwenye malipo sasa kwa hapa bongo sijajua utaratibu wa kupata hiyoo...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wahitimu wa miaka miwili sasa wamekaa mtaani bila kutumikia jamii na kufanya uzalishaji unaotakiwa kwa maendeleo ya nchi. Hii ni kupoteza nguvu kazi ya taifa, hawa vijana wangeiishia form four tu...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Hii kitu ni nooma ina 1500 horse power yaani ukitaka kuelewa nguvu ya hii mashine jaribu kulinganisha, Toyota Land Cruiser VX top version haivuki 300 horse power, sasa hii ni mara tano yake...
4 Reactions
126 Replies
19K Views
Unyanyapaa ni tabia ya asili tuliyonayo binadamu,kama ilivyo hasi na chanya tabia hii pia ina matokeo mawili mf:kumnyanyapaa mtu mwenye ugonjwa ambao unaweza kusambaa kwa njia za hatari kunaweza...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Asante Sana watanzania kwa kupenda udaku na kuongea Sana kama kasuku. Nina Swali :Hivi kama unaongea na Mchumba harafu unajitahidi kuongea kwa hisia mpaka unalia kwa kumpenda na yeye yuko kimya...
7 Reactions
47 Replies
6K Views
Back
Top Bottom