Katika hali isiyotarajiwa; jana Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Bw. Daudi Albert Bashite aliitisha mkutano n Waandishi wa Habari akiwa nje ya Mkoa wake! Na katika hali ya kushangaza kabisa; kwa mara ya kwanza tulishuhudia mkuu wa mkoa akitoa taarifa ambayo ama ilitakiwa kutolewa na Ofisi ya Rais au Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje!! Kwenye kikao hicho RC huyo aliujuza umma juu ya ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia!!
Wachunguzi wa mambo wanaamini ni Rais ndie alikasimisha kazi hiyo kwa Daudi Albert Bashite ili hatimae mheshimiwa huyu apate ku-shine kwenye magazeti yetu pendwa baada ya kuwa ametangaziwa fatwa ya kutoandikwa; labda kwa mambo ya ujinga ujingaa!!!
Kama ishara ya kupeleka ujumbe kwa Mkulu kwamba, hata kama ni habari ya taifa; so long as habari hicho inatoka kwenye kinywa cha Daudi Albert Bashite; katu magazeti hayataandika!!!
Baadhi ya magazeti ya leo ni haya: