Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wakuu natumai kumekucha salama. Jana nikiwa matembezi ya kawaida mida ya jioni nilikuwa nimetanguliwa na wanafunzi wa shule ya sekondari UMONGA iliyopo manispaaa ya Dodoma walikiwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, Salamu ziwafikie wote na Heri ya mwaka mpya. Wadau wa mambo ya utalii wa ndani na mambo ya kijamii, Teamrafiki kwa uchache tumeandaa Tour ya kupanda mlima Kilimanjaro mwezi wa Tatu mwaka...
25 Reactions
312 Replies
28K Views
Nimekuwa naifuatilia sana tamthilia hii ya designated survivor na mengi yanayoonyeshwa yanaakisi changamoto katika kutawala nchi. Rais Kirkman ambaye hakutarajia kuwa Rais anaukwaa urais baada ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanesco kwa Kituo cha hapa Himo(Kilimanjaro) wamekuwa wababaishaji sana. Rushwa imejaa kila kona. Sisiwananchi wa vijijini (Kirua Vunjo, Mwika, Kilema, Marangu)...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wasomi wengi mara nyingi wakisoma sana huwa wanakana uwepo wa Mungu lakini wakati huohuo hawaamini ushirikina. Kuna Group kubwa duniani la athiests(watu wasioamini uwepo wa Mungu na Shetani ) na...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
kwa masikitiko makubwa halotel wamenifugia na wakati siku zote na nunua salio 1000 na kuunganisha mb leo nimefungiwa na wameniletea ujumbe huu Mpendwa mteja! Namba yako imefungiwa kwa muda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam zikufikie popote ulipo. Niende moja kwa moja kwenye point,kupitia wizara yako ulitoa waraka kwa watumishi kuhamishwa(ikama) kwa walimu katika kila halmashauri na ukasisitiza mambo haya...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Baada ya Rc wa Dar kufanya uvamizi katika kituo cha habari cha clouds, kulifuatiwa kikao cha bodi ya wahariri kulaani vikali kitendo hicho na kutangaza hatua za kutokurushwa au kuripoti habari...
10 Reactions
117 Replies
13K Views
Tukiacha wale waliokulia kwenye exposure na kila kitu, Uswahilini au mitaani ambapo wengi tumekulia tulikuwa hatunaexposure ya vitu vingi sana. Kuna watu hadi wanafika Chuo kikuu walishataka kuwa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kumekuwa na taarifa kwamba kuna vurugu mpakani mwa Kenya na Tanzania nimejaribu kusoma makala iliyoandikwa na gazeti la the star kenya Namanga cuts water to TZ in protest against listing Kenyans...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za leo rafiki? Naomba nikushirikishe changamoto mpya ninayokwenda nayo, kama utaiweza karibu. Mpango uliopo sasa ni kusoma vitabu 500!! Ndio vitabu mia tano na mpango huu ni wa miaka...
7 Reactions
40 Replies
10K Views
Wakazi wa Musoma mjini imewabidi kuchota maji ziwani baada ya mamlaka ya maji safi na maji taka mjini humo (MUWASA) kuwakatia umeme kutokana na malimbikizo ya madeni
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu waungwana, Naomba kuchukua nafasi hii kumuombea msamaha kijana Makonda kwa makosa yake alioyafanya, najua wengi tulichukia na kupaza sauti zetu. Natumaini kwa utamaduni wetu mtu akikosea...
7 Reactions
92 Replies
7K Views
Wandugu nina taarifa yenye uthibitisho kuwa jamaa aliyemuua bro Raymond Tungu Kapalata ameshikwa jana jumamosi saa saba mchana huko Iringa Tanzania, baada ya kukimbia kutoka Mwanza ambako...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba, imemhukumu bwana Rogers Mushumbusi maarufu kwa Jina la 'Kifimbo Cheza' kifungo cha miaka 30 Jela na Viboko 12 kwa kosa la ubakaji wa Wanafunzi. Chanzo: Mwananchi
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu wangu Naomba kuelimishwa ni ndege gani zinazo tua terminal 1 na zipi zinazo tua terminal 02 katika uwanja WA nyerere airport
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu. Mimi ni Raia mwema ambaye huwa siegemei upande wowote wala sio mkereketwa wa chama chochote cha siasa hivyo hata kwenye uchaguzi kura yangu huwa siangalii chama wala jina la mtu bali...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni wapi naweza kupata kupaya mkopo wa tsh 10000, 100000 mpaka 1000,000 kama mkopo wa biashara??? Tofauti na branch kwasababu sina kitambulisho cha mpiga kura Ni tovuti gani nyingine inayotoa mkopo...
1 Reactions
41 Replies
14K Views
Back
Top Bottom