Tanzania ni miongo vinara wa TB duniani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,690
239,251
Hii ni kwa mujibu wa WHO ambalo ni shirika la afya la dunia .

Taarifa zinasema kwamba Tanzania inashika nafasi ya 8 kati ya nchi 22 zenye lundo la wagonjwa wa TB duniani na imejinyakulia nafasi ya 6 Africa.

Chanzo - Mwananchi .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
..kasi ya kuongezeka kwa TB tz haitokani na kutochemsha maziwa bali kuwepo kwa ugonjwa wa HIV/AIDS....ambapo imedhihirika kuwa ugonjwa wa TB ni mojawapo ya opportunistic infection kwa wagonjwa wa HIV/AIDS....na sasa maradhi haya hutokea sana pamoja ktk kile kiitwacho co-infection... Yaani kuwepo wa maambukizi mawili kwa pamoja....
...shida ya tz ya sasa ni ukosefu wa resources na attention ya kutosha toka kwa wizara husika juu ya maradhi haya...kwani management ya maradhi haya hutegemea wafadhili kwa asilimia 100%...na pale wafadhili wanapochelewesha resources inakua shida kama sasa....tuna shida na bad politics (siasa za majitaka)nchi hii...

Jamii ya wafugaji ielimishwe umuhimu wa kuchemsha maziwa kabla ya kunywa.
 
NIMR wanasemaje?
 
Nimekuelewa mkuu lakini pamoja na hayo huoni kama mfugaji au mtu yeyote mwenye upungufu wa CD4 ana hatari ya Zaidi ya kupata TB kutokana na maziwa yasiyochemshwa pia.

Ikiwezekana Wizara ya Afya ishirikiane na wasanii kutengeneza matangazo ya kuelimisha jamii umuhimu wa kupima afya, pia wizara ilipie matangazo hayo yarushwe kwenye luninga. Kugundulika na HIV sio tena hukumu ya kifo kama ilivyokuwa zamani.
 
...yah ni sawa kuwa maziwa yasiyochemshwa yanaweza kupelekea maambuzi ya vimelea vya TB kwa wenye HIV/AIDS sababu ya upungufu wao wa kinga(CD4)....lakini sasa kwenye cause and effect itaonekana kuwa mtu kapata TB sababu ya HIV/AIDS na si maziwa...anyways...hili janga la co-infection ya HIV/AIDS na TB ni janga kuu sasa tz...na zaidi ya hapo kuna janga lingine la multi drug resistant TB (MDRT)ambalo linakua kwa kasi ya ajabu tz pia....
...awareness na elimu ni jambo la msingi kama ulivyosema....jambo ambalo naliona kwa uchache sana tz...nimemwona vice president akilisemea hili kwa tele lakini we need more action than empty talk...
Jamii ya wafugaji ielimishwe umuhimu wa kuchemsha maziwa kabla ya kunywa.
Nimekuelewa mkuu lakini pamoja na hayo huoni kama mfugaji au mtu yeyote mwenye upungufu wa CD4 ana hatari ya Zaidi ya kupata TB kutokana na maziwa yasiyochemshwa pia.

Ikiwezekana Wizara ya Afya ishirikiane na wasanii kutengeneza matangazo ya kuelimisha jamii umuhimu wa kupima afya, pia wizara ilipie matangazo hayo yarushwe kwenye luninga. Kugundulika na HIV sio tena hukumu ya kifo kama ilivyokuwa zamani.
 
Jamii ya wafugaji ielimishwe umuhimu wa kuchemsha maziwa kabla ya kunywa.
But watch out,not only this community. As what I may say, there is a strong association between body immune weakening diseases to TB. Our former president Kikwete had a big eye on this through TACAIDS which has now dissolved!
 
That was my first point and I then added into it that the Ministry of Health has an accountability of promoting health. They can work with celebrities to design promotions that will encourage people to be tested. TB and HIV do go together, a health person may have contact with TB but CD4 could fight it over rather that a person with immune suppression.
 
..what is so ironic with status quo leaders is that we have some of them being immunally compromised... But they don't see the association between HIV/AIDS and TB...

But watch out,not only this community. As what I may say, there is a strong association between body immune weakening diseases to TB. Our former president Kikwete had a big eye on this through TACAIDS which has now dissolved!
 
But watch out,not only this community. As what I may say, there is a strong association between body immune weakening diseases to TB. Our former president Kikwete had a big eye on this through TACAIDS which has now dissolved!
Kuna uhusiano mkubwa sana wa HIV na TB , hivi kwanini wameua TACAIDS ?
 
That was my first point and I then added into it that the Ministry of Health has accountability of promoting health. They can work with celebrities to design promotions that will encourage people to be tested. TB and HIV do go together, a health person may have contact with TB but CD4 could fight it over rather that a person with immune suppression.
I wish you could be among the celebrities! What I have learned is that every successor in top national seat is of his kind! No continuity in their action plans towards the solutions of critical calamities mostly facing our nation.
 
Back
Top Bottom