figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,486
Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo asubuhi katika makutano ya barabara ya Msimbazi na Morogoro, Dar.
Leo hii kariakoo trafiki alikuwa anaongoza magari sasa akawa anaruhusu bus la mwendokasi linalotoka posta kuelekea kimara sasa kuna bus la mwendokasi kutoka ubungo lilikuwa linakata kulia kuelekea kituo cha gerezani likifuata taa kumbe trafiki ndio anaeongoza magari hamadi bus zimekutana kwenye junction sasa ile kukwepana tu bus moja likaenda kulamba taaa za kuongozea magari .
Kama unavoona kwenye picha.