ISAYA ELINEEMA
Member
- Jan 5, 2015
- 47
- 19
Biblia. Yeremia 26:3
[3]Labda watasikia, na kughairi na kuacha kila mtu njia yake mbaya; ili niyaghairi mabaya niliyokusudia kuwatenda, kwa sababu ya uovu wa matendo yao.
Nakuomba mtu wa Mungu uwe makini na mwenendo wako. Ucje ukafikiri kuwa aaaaah.... mbona kila cku nafanya dhambi lakini nabarkiwa tu, nina afya njema tu, nnazid kusonga mbele tu, na wala sifi.
Kumbuka, Mungu wetu ni wa huruma anakuona sana na anakuvumilia kama labda unaweza kubadilika. Ila ikifika hatua umekua CHRONIC (SUGU WA DHAMBI) bas hughairi huruma yake na kukupa pigo la ghafla, hata usiweze kutubu. Ili uvune ulichopanda.
Ni wito wangu mtu wa Mungu kuacha DHAMBI na kumgekia Mungu kwa kuyafanya maagizo na matendo yampendezayo kwako bado anakusubiri UTUBU ili ucje ukaangamia, kama zilivokuwa nyakati za SODOMA NA GOMORA(LUTU) , nyakati za (GHARIKA) NUHU, N. K watu walikua wakila, wakinywa, wakioa na kuolewa na kufurahia ANASA za dunia zote. Moto ukashuka ghafula(SODOMA) na GHARIKA ikatokea Ghafla(kipindi cha NUHU) wote wenye dhambi wakaangamizwa.
Ni jukumu lako leo ndugu yang kuacha dhambi, kataa dhambi, chukia dhambi na uikimbie dhambi, ndipo utakuwa na KIBALI kwa MUNGU kama LUTU NA NUHU.
NA MUNGU AKUBARIKI SANA. SEMA AMEEEEN
BY REV ISAYA