fanya hivi: nenda kwenye msg, andika neno kadiria acha nafasi andika namba ya gari tuma kwenda 15341kuna mtu anahitaji kuniuzia gari na tumepanga tuonane kesho kwa ajili ya kwenda kuangalia TRA Kama haidaiwi. Kilichojitokeza nasikia kesho TRA hawafungui ofisi kwahiyo naomba msaada Kama kuna njia nyingine yakuangalia bila ya kwenda TRA.
Ungepeleka jukwaa la hoja mchanyiko mkuu. Huku ngoja tumalizane na Bashite kwanza.
Ndugu kama ni la biashara bora ungojee j3 ila kama siyo tuma meseji kwa kuandika kadiria acha nafasi weka namba ya gari mfano KADIRIA T000AAA nimeona kwenye mtandao wao TRA
Ndugu kama ni la biashara bora ungojee j3 ila kama siyo tuma meseji kwa kuandika kadiria acha nafasi weka namba ya gari mfano KADIRIA T000AAA nimeona kwenye mtandao wao .kisha tuma 15341TRA