Kama JK ni Rafiki Mkubwa wa Lowassa ni Nani anaweza kuwatenganisha sakata la Richmond????

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
Lowassa alipata kusema yeye Mwenyewe kuwa Kikwete ni Rafiki yake Mkubwa na hawakukutana Barabarani sasa sisi tunajua kabla ya Lowassa kusema kuwa Suala la Richmondi Walikuwa pamoja!!
Nani asiyehua kwamba Kikwete ndiye aliyekuwa anampa maelekezo Lowassa ??

Hapa wote Hao Marafiki hawana uzalendo kwa Taifa , Wameingiza Taifa katika mgao wa umeme na kuua mitaji ya maskini!!!
Lowassa hafai kuwa Rais kwa sababu ni rafiki yake Mkubwa na JK na wamehujumu Uchumi wa Nchi!!
Hapa ni kupigania Katiba mpya ili kuwapeleka akina Lowassa ,Rostam, Kikwete Mahakamani!!

Ni wazi kuwa akina Fredy Lowassa wanatanua na Mali za Wizi, akina ASSAD Aziz Wanakamatwa na 92.2Kg dawa za kulevya na hakuna hatua.
WanaCCM wengi wanaiba maliza Umma halafu wanazitumia kutunyanyasa

Ni bora Wachungaji wanao Mkaribisha Lowasa mkaanza na toba na Malipizo vinginevyo mnapokea sdaka zinazo tokana na kazi ya wizi!!!
 
Kwa nini Lowassa kama ni Mzalendo wa Kweli na anataka kutuongoza Watanzania alinyamaza kimya Wezi wa richmond wanaiba harafu yeye amenyamaza kimya???

Watu hao wamekwenda kutushitaki na kutudai 111blns harafu leo anataka urais makanisani huu ni uhuni mkubwa na Mungu atampiga!!
 
Lowasa hatakiwi kupewa Urais , Wapewew Upinzani , yeye na Kikwete wasubiri mabadiriko ya katiba wapelekwe Jela!!!
 
Back
Top Bottom