Serikali imetoa kibali cha ajira kwa walimu wa Sayansi,ila mbona hawaajiri?

ketone

JF-Expert Member
Jan 22, 2016
508
622
Kila siku..tulishatoa kibali cha kuajiri waalimu wa sayansi..huu ni zaidi ya mwezi wa nne..hicho kibali mlipeleka nchi ingine..
Ongeeni ukweli kuwa hatuna hela hivo hatuajiri..sio mbwembwe..
Au waziri husika aseme naogopa kutumbuliwa.nikitangaza ajira.
 
Tunaendelea kukitafuta kwenye mafaili hatukioni, kikipatikana tu, hata leo tunatangaza.
 
Back
Top Bottom