Chonde chonde Bunge lisitumie madaraka vibaya kuhoji watu waliozungumza ukweli

Mar 23, 2017
64
89
Ndg:wabunge nawaheshimu Sana kwani huwa mnatetea demokrasia wkt nyie hamtaki kukosolewa na Sisi tuliowapa Kula. Mnapo dai kuwa kiongozi mmoja amewazalau kwamba amezalilisha Bunge kwamba mambo ya Bunge hayaruhusiwi kujadiliwa nje, swali :kuna HAJA gani ya kuonyesha Bunge live na mtu akiongea alichokiona mnakuja juu kama hapendi tuwaongee mfanye vikao vya siri hamtatusikia tukiongea chochote. Mtu anaonekana akiwapiga TEKE walinzi wa Bunge huku akitolewa nje (sugu) Na kuleta VURUGU nje mdee anaongea matusi ya nguoni akiwa bungeni, Tusiseme nyie ni waheshimiwa tu Mtu anasema Funga milango tupigane harafu mtu Akisema Mnataka kumziba mdomo. Haya wabunge mnatuhumiana kuvuta Bangi mtu akiongea alicho kiona mnasema kawadhalilisha wakati kuongea ukweli. MAONI YANGU :kama hamtaki tusiongee mnayoyafanya Bunge liwe la siri hamtatusikia tukiwaongelea. MWISHO :KAMA mtu katukanwa nje ya Bunge aende polisi na hatimaye mahakamani mf. Esta bulaya kasema alitumiwa meseji na makonda WAKIWA nje ya Bunge lkn hakwenda mahakamani ila kaamua kuja kulalamika bungeni kana kwamba Bunge limegeuka na kuwa mahakama. Msitunyanyase kwa kuwa mko maeneo yenu ya bungeni bali haki itendeke kwa wote. Hamtaki kusemwa ila nyie Mnataka kusema wengine how comes... SHERIA itumike pande zote siyo upande mmoja. Nawatakia kazi njema hayo ni maoni yangu.
 
Kwanza jifunze kuandika kiswahili

Jifunze kuweka aya

Tulia na uweke maana kwenye andiko. Sijaelewa ulikua unataka kusema nini na unamtetea nani.

"Kutokusema ni bora zaidi kuliko kusema usichokijua"
 
Ndg:wabunge nawaheshimu Sana kwani huwa mnatetea demokrasia wkt nyie hamtaki kukosolewa na Sisi tuliowapa Kula. Mnapo dai kuwa kiongozi mmoja amewazalau kwamba amezalilisha Bunge kwamba mambo ya Bunge hayaruhusiwi kujadiliwa nje, swali :kuna HAJA gani ya kuonyesha Bunge live na mtu akiongea alichokiona mnakuja juu kama hapendi tuwaongee mfanye vikao vya siri hamtatusikia tukiongea chochote. Mtu anaonekana akiwapiga TEKE walinzi wa Bunge huku akitolewa nje (sugu) Na kuleta VURUGU nje mdee anaongea matusi ya nguoni akiwa bungeni, Tusiseme nyie ni waheshimiwa tu Mtu anasema Funga milango tupigane harafu mtu Akisema Mnataka kumziba mdomo. Haya wabunge mnatuhumiana kuvuta Bangi mtu akiongea alicho kiona mnasema kawadhalilisha wakati kuongea ukweli. MAONI YANGU :kama hamtaki tusiongee mnayoyafanya Bunge liwe la siri hamtatusikia tukiwaongelea. MWISHO :KAMA mtu katukanwa nje ya Bunge aende polisi na hatimaye mahakamani mf. Esta bulaya kasema alitumiwa meseji na makonda WAKIWA nje ya Bunge lkn hakwenda mahakamani ila kaamua kuja kulalamika bungeni kana kwamba Bunge limegeuka na kuwa mahakama. Msitunyanyase kwa kuwa mko maeneo yenu ya bungeni bali haki itendeke kwa wote. Hamtaki kusemwa ila nyie Mnataka kusema wengine how comes... SHERIA itumike pande zote siyo upande mmoja. Nawatakia kazi njema hayo ni maoni yangu.
Sidhani kama unajua alihojiwa kuhusu nn
 
Hili sio Povu la Nchi hii, Nitakua wa mwisho kuamini kama unacheti cha kidato cha nne.
 
Back
Top Bottom