Caroline Hans
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 723
- 386
Ni kitambo sasa kumekua na kelele za kuulizia cheti cha mtu anayeitwa Bashite as if wanaoulizia walimlipia ada wakati anasoma au walikilipia kule NECTA. Tusipoteze muda jamani ili uweze kuona cheti cha mwenzako sharti ulete chako kwanza!! Narudia tena Kabla ya kudai cheti cha mwenzio unatakiwa uonyeshe cha kwako kwanza ili hoja yako iwe na nguvu, Tena uweke hapa vyote kisha udai vya wenzako!!!
Naamini tumeelewana! Otherwise tuendelee kufanya Kazi!!!
Naamini tumeelewana! Otherwise tuendelee kufanya Kazi!!!