Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inakuwaje faili la plot ya mtu halionekani kwa zaidi ya mwezi sasa? Nimenunua kiwanja kwa mtu,, tumekamilisha vigezo vyote...mwisho mnanitaka kuleta picha 6 za aliye niuzia Kiwanja......naleta...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Asalamu aleikumu wanajamvi. Nimekuwa nafuatilia sababu za kuwepo kwa magaidi na majambazi ya kutisha katika baadhi ya mataifa hapa Africa na mabara mengine juu ya uwepo wa magaidi na majambazi ya...
9 Reactions
15 Replies
3K Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema itasitisha uzalishaji wa noti ya shilingi 500 kutokana na kuwapo sababu mbalimbali.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi mchezo wa draft ni nani kagundua na aligundua kwa nia gani na sababu zipi zilipelekea yeye kutaka kugundua?
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali haitavumilia wakandarasi wasio na uwezo na ambao wanapewa kazi lakini wanashindwa kuzimaliza katika muda uliopangwa. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukitafakari kwa kina yanayotokea na kuendelea katika nchi yetu utagundua jambo moja. Kuanzia miaka kadhaa nyuma. wenye akili ni kama walifanya mgomo wa kuzaa. wakaacha kuzaa. isipokuwa wachache...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Msichana Redna Raphael (19) jana alinusurika kifo baada ya kujirusha kutoka ghorofa ya saba katika jengo la Harbour View Tower, maarufu J.M. Mall lililopo katika makutano ya Mtaa wa...
4 Reactions
82 Replies
12K Views
Hakuna siri tena, na wala hakuna pa kujificha ili mwanaharamu apite!! Kulingana na projection za IMF uchumi wa Tanzania unaelekea kaburini; Nchi inafilisika; tena wamesema ifikapo july 2017 nchi...
6 Reactions
46 Replies
5K Views
Kampuni ya kutengeneza vinywaji vikali ya kanyagi na vinywaji vingine watoa memo yakupunguza wafanyakazi.
3 Reactions
48 Replies
9K Views
1: Ukiweka pesa kama akiba halafu siku za mbele ukitaka kutoa hukuti imeyeyuka kimaajabu? 2: Ukitumiwa pesa na mtu halafu ukitaka kuzitoa meseji ya kutumiwa haichelewei kufika? 3: Weka maudhi na...
1 Reactions
33 Replies
9K Views
Habari wanajf Najuwa kwa ushauri huu wapo watu mtanishambulia kwa kuona kuwa nimeshauri vibaya lakini kwa upande wangu naona serikali ikifanya hivi itakuwa imefanya jambo jema. Mara kadhaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi.. Kwa mtu anaye daiwa kodi ya malimbikizo na T.R.A., anaruhusiwa kulipa kidogo kidogo hadi akamilishe deni? Kwa mfano deni lako ni Sh. Milioni Kumi...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Juzi ITV walionyesha tukio la kusikitisha wanafunzi wa kike shule moja Kijiji cha MASCUT huko shinyanga wakipagawa mapepo hovyo huku wavulana wakigeuka wachungaji kuyakemea. Waalimu wanashauri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bado natafakari hii kauli mbiu ya Serikali ya awamu ya tano ya Tanzania ya viwanda.. 1. Tunaambiwa serikali kwenye bajeti ya mwaka 2016/2017 imetoa 33.33% tu ya pesa mpaka wakati huu tukiwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kukosa vipaumbele ni sawa na kwenda mahali usipopajua, wengine wanasema ni kukosa dira na malengo na matokeo yake unakua ni mtu wa kuendeshwa na nyakati, matukio na hali ya mazingira husika...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Unaweza ukajikuta kwenye mikono ya sheria pindi wanapofanya makosa ambayo yamekatazwa kwenye baadhi ya nchi: 1: Huruhusiwi kwenda dukani na sarafu (Coins) ukiwa Canada. •Kupitia sheria ya fedha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Na Bollen Ngetti KAMPUNI ya Vodacom Tanzania Limited, hiki mnachokifanya ni wizi na unyang'anyi kama ulivyo ukabaji, kuvunja nyumba ya mtu na kumuibia au kumpora Mali yake kwa nguvu na hata...
1 Reactions
1 Replies
943 Views
Mbunge wa Igunga, Dkt. Kafumu asema uamuzi wa kuzuia mchanga kwenda nje umekuwa wa haraka na unaweza kupotezea nchi mapato-
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Nawaomba wenye makampuni ya taka kwa dhati kabisa mara wajapo majumbani mwetu kuzoa taka wawe wanatuachia risiti zinazotuonyesha ya kwamba wamezoa taka,(receipts of services) na si kutufanyia...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Back
Top Bottom