Akizungumza mapema asubuhi ya leo na Kituo cha Luninga cha Channel Ten na Magic fm Radio Nabii anayekuja kwa Kasi nchini Nabii Frank leo amefunguka na kueleza mambo makuu mawili ambayo ndiyo...
Habari za leo Wakuu
Nimeamua kuuliza kupitia jukwaa hili maana DUNIA ya sasa imebadilika
Nimepokea meseji toka Airtel kwa mara ya 3 hv au zaidi
Inasomeka hv
"Dear Customer, Your number is...
Faini zimetamalaki kuanzia NEMC, TRA na Trafiki, wacha leo nizungumzie za Trafiki kila kosa 30,000/= ukishatozwa (maana yake ni ruksa kuendelea na kosa ulilotozwa faini, hakuna namna ya...
Anapoishi Kaka Pana Umeme,mahakama,shule Mbili,zahanati Mbili,barabara Nzuri Tatizo Ni Hili: Huduma Ya Stationery Hakuna,pana Zahanati Ya Kisasa Lakini Hakuna Gari Ya Kusafirisha Wagonjwa Na...
Akizungumza mapema asubuhi ya leo na Kituo cha Luninga cha Channel Ten na Magic fm Radio Nabii anayekuja kwa Kasi nchini Nabii Frank leo amefunguka na kueleza mambo makuu mawili ambayo ndiyo...
Taarifa ambazo sijathibitisha zinasema kuwa mwandishi na ripota maarufu toka kanda ya Ziwa George Maratu amewekwa lockup baada ya kumkata kwa panga dereva taxi mmoja ambaye alimtuhumu kutembea na...
Wadau,
Tukumbushane. Leo, ilitangazwa rasmi ni siku ya mwisho kwa waliobainika tayari kuwa na vyeti feki kujiondoa kwa hiari. Sina uhakika kitakachompata atakayekaidi na akang'ang'ania ofisini.
Asante ndugu na jamaa wote, kuna jambo moja napenda kuliweka mbele yenu
Kumeibuka na watu binafsi au kikundi kinachofanya biashara ya ukopeshaji pesa
1: Hawajasajiliwa na serikali
2: Serikali...
Habari za asubuhi wanajamvi!
Samahani naomba Kuuliza kwa anayefahamu,
Hivi kuna tatizo gani linaweza kutokea endapo utatumia misumari ya bati za kawaida yaani migongo midogo kuezekea bati za...
BREAKING NEWS.
Basi la kampuni ya Coastline lililokuwa linatoka Mwanza kuja Moshi via Arusha limepata ajali mbaya maeneo ya King'ori- Kiwandani mida hii ya saa mbili usiku. Idadi ya majeruhi ni...
Wasalaam,
Hilo jina bila shaka linajulikana na liliwahi kuwa maarufu Tanzania. Kiufupi ni kijana aliyekufa akiunga mkono azimio la Arusha. Ninachojiuliza ni kimoja tu,kufuatia hii tabia mpya ya...
Habari wakuu,
Samahani naomba kusaidiwa beti zote za huu wimbo wa dini sikumbuki vizuri unavyoanza ila nakumbuka sehemu hii," ..... unapo wazuru wengineee... usinpiteee"
Natanguliza shukrani za dhati.
Zanny (45), ambaye kwa waumini wenzake alikuwa akijulikana kama ‘Mzee Zanny’ au Uncle Sam kama walivyokuwa wakimwita marafiki zake, aliuawa juzi kwa kupigwa risasi mguuni na mgongoni nje ya ofisi...
Dar es Salaam. Dereva taksi, Rashid Yusuph(23) amehukumiwa kifungo cha miaka 45 jela, baada ya kupatikana na hatia ya unyang'anyi wa kutumia nguvu.
Yusuph ambaye ni mkazi wa Kimara Mbezi...
Habari zenu mabibi na mabwana,
Nina maswali yananitatiza sana kichwani kwangu juu ya nani mwenye mamlaka ya kulitumikia taifa bila bughuza na kuheshimiwa mawazo yake.
Leo nilikuwa natizama...
Ndugu zangu wapendwa tupo katika wakati mgumu kimaisha japo nasema hivo kwa walio wengi wako hivo inakuaje linapokuw alimetokea tatizo tunawahi kulaum na kuja juu kwa bila kutafakari mfano.
Timu...
Mh Raisi hongera kwa majukumu ya siku hadi siku
Ninaitambua dhamira yako njema kwa watanzania wakipato cha chini kupitia "elimu bure"
Kutokana na uwezo/bajeti ndogo kwa wanafunzi wa elimu yajuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.