Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,668
- 30,515
Ukifika office ya TIGO Makumbusho unaenda Kule nyuma utaona barabara inachimbws. A Breda inaenda makubmbusho stend unaivuka unaona kamtaa ka barabara ya vumbi kadogo hakatoki utaona ukuta umeandikwa prestige company
. jioni wsnahesabu bulungutu kubwa sana LA hela wala hawana risiti za machine zenye nembo ya halmashauri bora hats trafiki wanarisiti za machine wao tuvitabu twao tws kujitengenezes eti wameanza kazi mwaka Jana October WAnavaa sare shati rangi caroti iliyopauka na suruali nyeusi.
KINONDONI EMBU TUSAIDIENI HILI JAMBO LIMEANZA LINI .....NA KAMA NDIO MMNA MKATABA NAOOO KWA NINI AWATOI RESIT ZA EFD??MNALAZIMISHAJE MJINI WATOE EFD MACHINE HAWA WASITOE???
KWA BAHATI MBAYA WALIMKAMATA DADAYANGU LEO..AKIWA AMEKWENDA KWA KAKA KUCHUKUA HELA MTOTO WAKE ALIKUWA AMEZIDIWA NA MM NIKO NJE SIKUWA NA UWEZO WA HARAKA KUMSAIDIA
NAOMBA NIWAMBIEE HUU UPUMBAVU SITOWAACHIA HAPO DADA AMAEWAREKODI NA UJINGA WENU WOTE NA UPUUZI MLIOTAKA KUMTESA
ALIPOKAMATWA AKAULIZA N NANI WAKASEMA INGIA NDANI YA GARI TWENDE SISI N WAKALA WA KUKAMATA WRONG PARKING ..WALIPOFIKA AKAKUTA WATU ALIOKUJA NAO WANATOA MABULUNGUTU YA HELA WANAWEKA MEZANI ANAKUJA MTU KUZIHESABU..
WAKAWAMBIA ATOE 50" 000AKASEMA HANA NA PALE ALIKUWA AMEKUJA KUCHUKUA HELA ZA MATIBABU MTOTO AMELAZWA MASANA
WAKASEMA LETA 30" 000 AKASEMA HATA KUMI SINA..WAKAMWITA MKURUGENZI WAOO..HUYU MKURUGENZII KAA NDIE NYOKO ALIEMWEKA MASAAA MATATU AJIANDAE...ALIPOFIKA HUYO ANAITWA MKURUGENZI AKAMWAMBIA TOA 20000 KAMA HUNA SUBIRI TUTAKUJUZA MDA WAKUTOA GARI SA KUMINAMBILI NDIO WAMEMWAMBIA HAYA ONDOKA...
MH MAKONDA HAWA WAHUNI TUMEWATOA WAPI JAMANI KWANINI WAARIBU MKOA WETU
KWANINI WASITOE RESIT ZA EFD...NA NANI AMEWAPA TENDA HII WANADAI WAKO TANGU OCTOBER...
TUNAOMBA OFISI YAKO IWAFWATILIE BINAFSI NAMALIZANA NAO JNNE NAAMINI HUO UPUUZI AWATOFANYA
KAAMA MTU ANAKWAMBIA HANA MNAPATA MAMLAKA YA WAPI KUMKALISHA MTU AKIWA ABA MGONJWA MNASEMA MDA UKIFIKA TUTAKURUHUSU..SHWTWANI WAKUBWA.....
HIZI KAMPUNZI MSIZIPE TU TENDA KISA N ZA MTUFULANI HATA HUDUMA ZAO FEKI KABISA...UNATOAJE MABULUNGUTU KUMWONYESHA NANI WAKATI UNAJUA UNAMTUHUMIWA PEMBENI ANAKUANGALIA
MNATURUDISHA TULIPOTOKA ATUTORUHUSU HILI KAMWE