UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Anapoishi Kaka Pana Umeme,mahakama,shule Mbili,zahanati Mbili,barabara Nzuri Tatizo Ni Hili: Huduma Ya Stationery Hakuna,pana Zahanati Ya Kisasa Lakini Hakuna Gari Ya Kusafirisha Wagonjwa Na Wagonjwa Wanafurika Wakipewa Rufaa Gari Mpaka Wasubiri Masaa 4 Mpaka 7,hakuna Gesti,baa Nk.Ombi Mwenye Nia Ya Kuwekeza Kwenye Moja Ya Hizo Fursa Tuwasiliane.Asante.