Ofisa Kumuandama Staff Mwenzie Kila Kikaoni Inaudhi.

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
567
Anamuandama Hata Pasipo Ulazima Wengine Wakifanya Makosa Hawasemi Jamaa Yangu Kapanga Jambo Flani La Kumkomesha Vp Atumie Mbinu Gani Kumkomesha Ili Nae Aumie? Ofisa Anapenda Rushwa Sana Kafukia Makaburi Mengi Sana Au Jamaa Yangu Ayafukue? Ushauri [HASHTAG]#Please[/HASHTAG]
 
Tengeneza log book/ journal ya makosa ya kila staff. Yapange makosa kwa ukubwa kutokana na athari zake kwenye uhai wa ofisi, na yanavyotajwa kwenye staff rules and regulations zenu. Hakikisha makosa hayo yanakuwa documented na ofisi aidha kwa ujumla kwenye minutes za vikao au kwa umoja wake au hata kupitia matangazo ya kuwakumbusha staff wasifanye au waache kufanya makosa fulani.

Halafu peleka ajenda kwenye mkutano au iwe AOB halafu mwaga radhi. Kwa ushahidi huo lazima jamaa aache hiyo tabia na ni ngumu kukuondoa kwani labour law itambana kutokana na wewe kuwa na ushahidi wa kutosha.

Halafu njia nyingine ni wewe kuongeza umakini na kuwa mbunifu zaidi, lazima jamaa atazimika tu.
 
well explained
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom