Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sijui ni kalama, sijui ni nature, sijui ni mapenzi ya Mungu! Mchungaji Gwajima akiwa anaongea utapenda umsikilize,hata kama uko opposite nae. Na akiwa anaongea maneno yake huwa matamu sana...
9 Reactions
64 Replies
9K Views
Naangalia michuano ya sport pesa, duh! Camera zao sijui zikoje watu wote wanaonekana virikuu! Pia kurudia tukio sijui wanarewind kama kanda za zamani.! Nunueni mitambo ya kisasa kama Azam tv.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapa ndipo alipozaliwa na kukulia. Hapa akiwa na familia yake Moscow ubalozi wa Tanzania Uzio wa shamba lake huko Muleba,kiasili zaidi. Geti la kuingia kwenye nyumba yake likiwa...
14 Reactions
204 Replies
73K Views
Nimekuwa nikitafakari juu ya uamuzi wa serikali kufuta fao la kujitoa na kuongeza makato bodi ya mikopo kwa wanufaika kinyume na mikataba ya wanufaika bila majibu stahiki.. Mwisho nimegundua kuwa...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Leo kwa hasira Kali nilizonazo juu ya kinachoendelea huko Mkoani Pwani hasa eneo ' hatarishi ' kabisa la Kibiti sitoweza ' kutiririka ' na ' kuserereka ' kama kawaida yangu ila niseme tu bila...
10 Reactions
80 Replies
8K Views
Nimerudi kutoka kazini mida ya saa 12 jioni, nikapaki gari langu ndani ya fence, nikaamua niangalie TV na nakufanya shughuli zangu za ofisini. Baada ya kula mida ya saa mbili, nikaenda kulala...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wakubwa wa jukwaa hili Tumeweza kuona huko uganda kuna watu ambao wanaitwa rich gang, mmoja wa watu waliokuwa wakiunda kundi hilo ni mfanya biashara ivan don ambaye kwa sasa ni...
2 Reactions
156 Replies
16K Views
Nimerudi kutoka kazini mida ya saa 12 jioni, nikapaki gari langu ndani ya fence, nikaamua niangalie TV na nakufanya shughuli zangu za ofisini. Baada ya kula mida ya saa mbili, nikaenda kulala...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi nimesoma hadi chuo nikitumia majina mawili ninataka kuongeza la tatu msaada please (tafadhali) kwa hatua za kuchukua. Nisaidieni wana jf
1 Reactions
98 Replies
63K Views
Wanabodi niliweka bandiko hapa kwamba naenda Nairobi na ni Mara yangu ya kwanza niliomba kupewa majina ya maeneo ya kujidai nashukuru Sana kwa maelekezo yenu nashukuru mungu nimerudi salama, Kwa...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Tangia nianze kuyafahamu haya Magazeti ambayo pia nimegundua kuwa yana mlengo wa Kiupinzani zaidi sijawahi hata siku moja kuona yakija na Headlines njema kuhusu Bajeti zote za Tanzania hasa kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tanzania ni mojawapo wa nchi chache duniani zenye utajiri mkubwa wa wanyama wa mwituni na ndiyo maana maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Hifadhi za Taifa (National Parks); Mbuga za Wanyama (Game...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ukiona Wanafunzi wametoka chumba cha Mtihani halafu wanashangilia kuwa ulikuwa mwepesi jua ya kwamba matokeo yakitoka wengi wao huwa Wanafeli tena vibaya mno hadi huja kushangaa. Tukio hili naona...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mama mjane Bi.Modesta Mukurasi anayemiliki shamba la urithi lililonunuliwa na wazazi wake shilingi tano mwaka 1937 ameiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi kati yake na watendaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi great thinkers, Kuna Ndugu yangu wa karibu sana ana elimu ya diploma ya usafirishaji kutoka mombasa bali hana kazi wala pesa anauza miwa. Tatizo Mtaa anaoishi kuna vijana wadogo kiumri na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mabaki ya mifupa iliyogunduliwa nchini Morocco inaonesha kuwa binaadamu aliibuka takriban miaka laki tatu iliyopita, miaka laki moja mapema kuliko ilivyodhaniwa awali. Ugunduzi huu pia unaonesha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Uthibitisho kwamba tanzania haina pesa kabisa huwa unaonekana siku ya kufunga budget ya mwaka Unaoisha... Na hii hali huonekana kwenye maisha ya Kila siku ya mtanzania katika ujenzi wa nyumba...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Sengerema. Mlinzi wa kampuni binafsi ya ulinzi ya Nyuki, Seleman Buyoga ameuawa na watu wasiojulikana akiwa lindoni baada ya kuvamiwa. Mlinzi mwingine, Charles Guli amejeruhiwa vibaya katika...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Akizungumza mapema asubuhi ya leo na Kituo cha Luninga cha Channel Ten na Magic fm Radio Nabii anayekuja kwa Kasi nchini Nabii Frank leo amefunguka na kueleza mambo makuu mawili ambayo ndiyo...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom