Leo 15/05/2017 ni siku ya mwisho vyeti feki makazini,watch out

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
4,021
3,657
Wadau,

Tukumbushane. Leo, ilitangazwa rasmi ni siku ya mwisho kwa waliobainika tayari kuwa na vyeti feki kujiondoa kwa hiari. Sina uhakika kitakachompata atakayekaidi na akang'ang'ania ofisini.
 
Asilimia 75 ya wasomi Tanzania ni wanaharufu ya ufeki,namaanisha sababu ya ukosefu wa shule kipindi hicho wengi walikariri hivyo akinabashite ni wengi mno.
 
Ina maana huu uhakiki umeondoa kabisa pasipo shaka wote wenye magamba feki,au kuna baadhi wametumia janjajanja kubaki?...
Wengi bado wapo na mwezi huu wanakula mshaara wao bila shida. Wale elfu 11 ambao hawakuwasilisha baadhi ya vyeti vyao hasa vya kidato cha nne hawana tofauti na waliokamatika na vyeti feki. Vyeti vyao ni feki ndo maana hawakuvisilisha na wengi ni makada wa chama tawala.
 
Mkuu kuna mbaya wako nini ana gamba feki kabaki?...leo ndiyo mwisho wa rufaaa ngoja tuone.
 
Baadhi yao wana vyeti halali ila walishindwa kuthibitisha copy zao kwa kuwasilisha vyeti halisi baada ya kupoteza au kuibiwa na kushindwa kufuata taratibu za uthibitisho wa upotezu.

Wengine watarudi au kuendelea na kazi baada ya rufaa zao kusikilizwa
 
Wadau,tukumbushane. Leo,ilitangazwa rasmi ni siku ya mwisho kwa waliobainika tayari kuwa na vyeti feki kujiondoa kwa hiari. Sina uhakika kitakachompata atakayekaidi na akang'ang'ania ofisini.
God is watching..... Hata mafirauni walitamba Lakini Leo hii wako wapi?
 
Back
Top Bottom