Aman iwe nanyi waku, kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo juu
Nimezunguka nchi nyingi sana dunian kama Mozambik, zambia, uganda, kenya, mawali, zimbambwe, kwa madiba, usa, franch, blazil...
Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,
Ni watu ambao wanamiliki...
Habari wadau,<br /><br />Huwa nawaza sana kuanzisha NGO lakini shida ni kwamba nashindwa kuelewa namna ambavyo ntaweza kuisaidia jamii nikiwa nimekwisha maliza usajiri wa NGOs sasa sijajua ni...
Sina sababu ya kuanza kueleza yanayotokea huko Kibiti na maeneo mengine ya karibu.
Hivi sasa hapa nchini kuna ugumu wa kumiliki silaha, yaani nazungumzia mlolongo wa mambo ya kufuatilia ili tu...
Habari, binafsi nimeona lishakuwa ni tatizo LA umeme hakuna tena uhakika wa umeme Na hili limeanza Mara baada ya Kuondolewa kwa WAZIRI wa Nishati Professor Muhongo yawezekana aliweza kulisamia...
Hbr Za Jioni Jf.Leo Mida Hii Nimeshuhudia Ugomvi Kati Ya Mpangaji Na Mwenye Nyumba.Mpangaji Kaua Paka La Mwenye Nyumba Eti Limeiba Maziwa Ya Mwanae.Baba Mwenye Nyumba Anamlazimisha Muuaji Ale...
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Naibu Waziri Wa Mambo ya Ndani Massauni amefunguka na kusema hivi sasa madereva ambao watakuwa wakikiuka makosa ya barabarani wanapaswa...
Za asubuhi watanzania wenzangu, nimekwangua vocha ya Halotel kwa bahat mbaya namba mojawapo ikafutika hivyo nahitaji kuongea na watoa Huduma kwa Wateja. Nimejaribu kupiga 100 sijafanikiwa kuwapata...
Habarini za jioni; nmekutana na thread mojawapo inatoa malalamiko kuwa CRDB imeongeza monthly maintanance fees! Yaani pesa ya kwako waitumie kuzalishia na bado uwalipe tena! Kuna sababu watu...
Hbr Za Jioni Wana Great Thinkers.Baada Ya Kusota Sana Na Kupanga Nimeamua Kujenga Room Moja Self Na Sebule Nikivuta Nguvu Za Baadae.Tatizo Mzee Wangu Anasema Choo Cha Ndani Haramu Ananipinga...
Mwanamke mmoja astuka baada ya kugundua nyoka aina ya Black mamba yupo pembeni ya kitanda chake
Wiki 2 zilizopita nilitoa uzi kuelezea namna nyoka aina ya black mamba alivyoingia kwenye moja ya...
Wakati Serikali inaintroduce tozo za vati kwenyewe utalii kuna waliobeza Tozo ya vati kwenyewe utalii.Sasa Lema sijui ataongea nini maana kaprove wrong!!! Aibuuu sana Kwa makampuni ya utalii...
MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Christina Mndeme, amepiga marufuku uingizaji na uchinjaji wa nguruwe, kufuatia mlipuko wa homa ya nguruwe.
Alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akizungumza na madiwani na...
Na Dotto Mwaibale
WAKINA Baba nchini wametakiwa kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa watoto wao badala ya kuwaachia kazi hiyo ifanywe na wakina mama pekee.
Mwito huo umetolewa na Selemani Bishagazi...
Clouds Media kupitia chaneli mpya ya Clouds Plus, naona Ruge ameamua kuinua industry ya Bongo Movie, hii chaneli imeanza vizuri.
Wanajitahidi kuonyesha Movie za mastaa wakubwa wa Bongo compared...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.