Kufuatia matukio ya ukatili dhidi ya wazee vikongwe kuongezeka mkoani Tabora, yanayosababishwa na imani za kishirikina, Jeshi la polisi mkoani humo limeazimia kuyamaliza, kwa kuwakamata wapiga...
Kwa kile kinachodaiwa ni kutokukubaliana na mwenyekiti wao kuwa mkuu wa mkoa na kukabidhiwa ilani ya ccm viongozi wa ACT kigoma wamejiunga na CHADEMA na wengine kustaafu siasa kabisa Nini maoni yako
Toka niwe member hapa sijawahi fikiria siku moja nitakuja kukutana na mawazo mbadala ya kubadilisha status ya uchumi wangu hapa. Nilikuwa shabiki namba moja wa jukwaa la SIASA,kimsingi sio dhambi...
Ni wazi katika maisha huwezi kuishi peke yako.
Lakini pamoja na kutegemeana huko, yapo mambo ambayo usipokuwa mwangalifu, yatakugharimu sana kimaisha.
Zipo imani na mitazamo mbalimbali ya kijamii...
Dodoma. Imeelezwa kuwa Tanzania ina wastani wa ongezeko la idadi ya watu la asilimia 4.7 kwa mwaka na kwamba hadi kufikia Machi mwaka huu ilikuwa na jumla ya watu 48.6milioni huku asilimia 30 ya...
Nafikiri mnakumbuka lile sekeseke la sms 2010 tukaambiwa kuna mtambo umeletwa toka Israel,ya kwamba kuna uwezekano ukatumiwa SMS na namba fulani labda ya kutishia kukuua au kukutukana kumbe...
Watanzania kumbe tunaogopa tu kutembelea vivutio vyetu vya utalii. Tukisingizia gharama kumbe si kweli.
Nimekuja Serengeti, nimelipa 11,800 pamoja na VA, m'bongo ni nafuu mno. Mgeni kutoka USA...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu, ameuagiza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuhakikisha wanachama wa mfuko huo wanapata matibabu ya upandikizaji...
TUME ya Vyuo Vikuu imekiri kuitisha mitihani ya utambuzi wa sifa mbadala (RPL) kwa watu ambao wana uzoefu wa siku nyingi katika fani zao wanazofanyia kazi, lakini hawana vigezo vya kielimu vya...
Kodi ya majengo imezidishwa kutoka 10000 kwend 15000 na kam ulikua na malimbikizo ya nyuma yote kufutwa (pamoja na riba) na unatakiwa ukalipe kodi ya majengo kabla tar.30/06/2017 bila hivyo tax...
Kuna ajali imetokea maeneo ya mwanambaya mkuranga,basi limeacha barabara na kupinduka lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya mtu yeyote aliyefariki katika ajali hiyo.
"Tumepata ajali muda huu maeneo...
Japokuwa sina historia ya kuogofya sana katika Imani, lakini hapo awali nami bila shaka nalikuwa kama wewe.
Kwanza kabisa, ilifika nyakati nikadai hakuna Mungu. Nilijitengenezea Facts zangu zaidi...
Hivi unafahamu kuwa mzigo wa kodi anabebeshwa mwananchi wa kawaida ambaye ndiye mtumiaji wa mwisho wa bidhaa na kadri kodi zinavokua zinaongezwa katika sehemu tofaut tofaut na mzigo huo unakua...
WANNE WAKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA JIJINI MWANZA
Mnamo tarehe 07/06/2017 majira ya saa 11 alfajiri katika mtaa wa Mbugani “A” kata ya Mbugani wilaya ya nyamagana mkoani Mwanza, askari wakiwa...
Habari zenu wana Jf. Mini ni mtumiaji mpya wa jamii forum ila nina jambo moja linanichanganya na kama kuna mwenye kulijua hili naomba kuelimishwa. Nimekuwa nikisoma habari nyingi kuhusu hawa watu...
Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kupitia Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho Tundu Lissu wanatarajia kufungua shauri Mahakama Kuu ili kuitaka ieleze kama bunge lina mamlaka ya kumuadhibu...
Wakuu kuna kipindi nilikuwa nakutana na hayo maandishi,IRINGA NDIO MASKANI,nimeamua nianzishe huu uzi ili tuweze kupashana mambo ya mkoa wetu,ingawa wengine tulizaliwa na kukulia mbali,but damu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.