donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Habari wakuu,
Samahani naomba kusaidiwa beti zote za huu wimbo wa dini sikumbuki vizuri unavyoanza ila nakumbuka sehemu hii," ..... unapo wazuru wengineee... usinpiteee"
Natanguliza shukrani za dhati.